Recent content by novavilla8

  1. novavilla8

    Watu wa Dar es Salaam noma. Mama ana mtoto hamtaki kumpisha kiti!

    Aisee jioni kila mtu amechoka anaitaji kukaa kwenye siti angalau apunguze kero ya foleni then umpishe mtu usimame na basi limejaa aisee mbona mtihani hapo kila mtu anakuwa busy na simu yake
  2. novavilla8

    GE2020 Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi

    Nondo mtakuwa nazo nyie wezi tu hamna lolote. Inshort watanzania tumewachoka mbwa nyie
  3. novavilla8

    Natafuta mke

    Naomba kuwasilisha hoja yangu kwenu, Natafuta mwanamke ambae baadae Mungu akipenda awe mke wangu, mimi umri wangu ni miaka 30. Naishi Dar es Salaam, ni muajiriwa wa private sector, mwanamke ninaemtafuta awe na umri kuanzia miaka 25 mpaka 28 kwa aliekuwa serious anicheki pm. For me nipo...
  4. novavilla8

    Nahitaji marafiki

    Nn tena
  5. novavilla8

    Nahitaji marafiki

    Mmenichekesha sana
  6. novavilla8

    Nahitaji marafiki

    Jamani mm ni mwanaume kwa maelezo zaidi mje pm
  7. novavilla8

    Nahitaji marafiki

    Jamani mm mwanaume kwa maelezo zaidi mje pm
  8. novavilla8

    Nahitaji marafiki

    Heri ya mwaka mpya ndg zangu.!Mimi naitaji rafiki au marafiki wa kushare ideas tofauti za kimaisha.for nina elimu ya chuo kikuu na pia ni muajiriwa ktk taasisi ya kifedha (bank).napenda kuwa na marafiki wa jinsia zote mbili mwanaume na mwanamke tubadilishane mawazo na kuelimishana pia.if u don't...
  9. novavilla8

    Uvumi wa Maalim Seif kukabidhiwa nchi na UN

    Watu wengine akili zao sio nzima kbsa huwezi kutuandikia ujinga sisi sio watu wa spot spot ushabiki wako wa vyama peleka mbele mwenyewe hapo ulipo hata hela ya kula shida unakuja kukuletea ujinga.
  10. novavilla8

    Nimekuta akaunti yangu ina nyongeza ya kufuru la fedha

    Endelea na matumizi kaka bahati haiji mara mbili
  11. novavilla8

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Tatizo langu nikiwa sijalipia cwez kupata local channel then sipati clouds tv.
  12. novavilla8

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Hana vision kbisa tangia amekuwa mkuu wa wilaya amefanya jambo gani nzuri zaidi ya misifa.tuone ataifanyia nn DSM yeye anapiga fitina ili aonekane anafanyakazi wakt hana mikakati anakurupuka tuu.
  13. novavilla8

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Makonda na pole pole wote hawana la kutufanyia wanadsm zaidi ya kutumia vitisho na show off za misifa.
  14. novavilla8

    Kwa hili hakika nimejifunza

    Dada usihofu mm nitakusaidia kulea mimba mpk unajifungua am serious kdogo changu tutagawana ilimradi ushinde njaa na mtoto akue.nitafute kma hutajal sina nia ila nimeguswa tu ma na tatizo lako.novavilla8@gmail.com
Back
Top Bottom