Recent content by Novael

  1. N

    JamiiForums Tanzania Short course gani ilibadili maisha yako?

    Ukiwa programmer hiyo KAZI mtu ukijulikana kulaza laki 6,8 ni kawaida ni bonge la dili tatizo mtaji
  2. N

    JamiiForums Tanzania Short course gani ilibadili maisha yako?

    Kuna hii ishu ya car key programming/locksmith yan kuprogram funguo za magari aisee hii kitu ina pesa hatari japo wanaijua watu wachache sana pia course yake hadi South Africa nawakilisha mweny swali aulize
  3. N

    JamiiForums Tanzania Short course gani ilibadili maisha yako?

    Mkuu unaweza kunifafanulia ukisoma hiyo cyber security ajira zake unapata wapi?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

    Maandiko yamefichwa lakin huo ndo ukwel lilith existed Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Tears of the Son Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini simba mfalme wa nyika hawezi kumdhuru fisi?

    Ndio Simba yupo katika jamii ya CATS Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini simba mfalme wa nyika hawezi kumdhuru fisi?

    Simba huwa anatisha aisee ni kama shetani hiv halafu akiunguruma pori Zima kimya Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wajawazito kwenye Daladala, kwanini wanawake hawapishani kwenye siti?

    Point sana huwa wanapanda makusudi kwa hisani ya huruma japo inategemea na kituo Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli kwamba, mtu anakuwa na hela nyingi halafu hana furaha?

    Kwa hiyo kununua vocha ya buku ni utajiri, UTAJIRI huanza na afya njema kwanza Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Picha, niambie Shule gani Tanzania ina mazingira Bora kuzidi haya?

    Kennedy House USA River Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

    Umenikumbusha mkuu kuna paka mmoja hivi mkubwa nilipewa kama zawadi na mmama mmoja wa kijeruman akawa anasema mbwa mzuri sana anafaa kwa pambo nikamchukua yule paka alikuwa anarusha mashambuliz akiona watu mfano umekaa unaangalia TV unashangaa paka huyu hapa kakurukia akuparue mda mwingne...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu (mtoto wa mama mdogo) amefariki na mwili wake wakutwa Mbezi ya Kimara

    We Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Unazungumzia Tanga ipi mkuu wew hujui Tanga vizuri [emoji28]
  14. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanga mna shida gani?

    Mwambie aende kwa usiku minchi atakutana nao mpka atakaa
Back
Top Bottom