Recent content by Nova Co Ltd

  1. Nova Co Ltd

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Pambana umalize hio semester then postpone then tafuta chuo . Kun.a st Francis ya ifakara 4M , Kuna KCMC 3M Kuna udom 1.8M Kuna Suza 3M . Mm nilipitia hio challenge 2019 now niko suza finalist class of 2024_2025 Ukihitaji muongozo na tips za kuhama utanitafuta. Kuhama hakuhitaji pesa yoyote...
  2. Nova Co Ltd

    Aina za single mother

    Mkuu hii sio poa kbs
  3. Nova Co Ltd

    Natafuta Taa za Nyuma za Ractis new model

    Vip boss zimepasuka au zimefifia ??
  4. Nova Co Ltd

    Wanajamvi tunaomiliki gari tukutane hapa kwa kuuziwa spare

    Wakuu habari , shukrani kwa mola muweza alie tukutanisha hapa, niende direct kwenye mada. Changamoto ya spare haswa za Taa za gari , ni kama wimbo wa taifa maana kila mmiliki wa gari anakumbana nayo, katika mihangaiko yangu nilifanikisha kukutana na kijana wa kitanzania aliye fanikiwa kubuni...
  5. Nova Co Ltd

    Nunua taa ya gari yako kwa nusu bei

    HIZO TUTA KUFYATULIA UKIJA NAZO OFISINI KIONGOZI
  6. Nova Co Ltd

    Nunua taa ya gari yako kwa nusu bei

    SHAM AUTO MOBILE HEADLIGHT COMPANY Ltd 2021/2022 Tumezalisha awamu nyingine ya lenzi mbadala kwa taa za gari aina ya TOYOTA IST kwa bei nafuu sana kwa seti gharama ni 240,000 OFISI ZETU ZIPO ZANZIBAR BARABARA YA MBWENI KARIBU NA CHUO CHA AFYA (SUZA) WASILIANA NASI KWA SIMU...
Back
Top Bottom