Recent content by notorious preacher

  1. N

    Tumjadili Hashim Dogo na Ufalme wake wa Hip - Hop

    Nlimskia Saigon akisema now jamaa aliachana na maswala ya muziki na kumrudia mung..... Weny kujua yuko wap atujuze
  2. N

    1,500,000/= nashida na kiasi hicho cha fedha kama dharura narudisha ndani ya miezi sita(6)

    Lak mbili kukopesha taratbu zake zikoje.. Cna nyumba wala cha thaman.. Ngekiuza bila kukopa.... Inakuwaje mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

    Tafuta vibali ufanye biashara ya kuni inalipa ajabu...mm n Mwalim ila nafkilia kuacha kaz nizd kujitanua kibiashara Mtaji n wakawaida mfano ukichukua fuso la saiz ya kat n kuni 1500 ....gar lak 3 ...bei ya kuni hzo lak 180000 kwa wew huna lesen n lak 3 ...so ukiwa na lak tisa unaanza...
  4. N

    Natafuta mfamasia wangazi ya Cheti au diploma

    Katisha Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Natafuta kazi hata ya kujitolea nimesomea ualimu

    Me too am a qualified Teacher from garissa with diploma of teachers education nahtaj kaz ya ualimu tu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Natafuta kazi hata ya kujitolea nimesomea ualimu

    Me pia nmesoma garissa teachers college kenya... Nahtaj scul ya English medium nna diploma (DPTE) Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Nursery Teacher and primary teacher

    Wapo walimu wawili mmoja wa nursery amesoma sinon college na anauzoefu wa miaka miwili na mwngne amesoma garisa teachers College kenya n wa primary...... Mwenye uhitaj plz check us tukupe walimu wenye sifa na viwango 0712770729 au 0685580057 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Nursery teacher

    Una nursery yako na unahtaj Teacher mzoefu??? Wapo maticha wazoefu na makini weny sifa na vigezo...... Na primary pia wapo wamemaliza garissa teachers college kenya... Check me 0712770729 au 0685580057 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    Nursery teacher

    Mwenye kuhitaji nursery teacher... Yupo teacher mzoefu na weny sifa na primary pia yuko mweny vigezo amesoma garissa kenya 0712770729 ..0685580057 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom