Deborah attilio
Member
- Aug 7, 2017
- 10
- 4
Natafuta kazi hata ya kujitolea mesomea ualimu wa shule ya msingi grade A
Nimeku pm huko kunamaelezoNatafuta kazi hata ya kujitolea nimesomea ualimu Wa shule ya msingi gradeA
Walimu wa grade A huwa nnawapenda sana na nnawaonea wivu sana.Natafuta kazi hata ya kujitolea nimesomea ualimu Wa shule ya msingi gradeA
Hiyo nursery anaianzisha vipi eti?Walimu wa grade A huwa nnawapenda sana na nnawaonea wivu sana.
Unatakiwa kuwa mbunifu tu kidogo, huyo mama yenu hapo Msambatavangu (samahani kama nimekosea kuandika jina) historia yake hamjaifuatilia?
Fanya hivi, anzisha ka nursery kakiaina katika eneo unalo ishi, siku hizi watu wanatafuta sehemu ambazo watoto wao wadogo watakuwa wanashinda wanacheza so wateja ni wengi sana tu,na utapiga mpunga wa kutosha tu haswa ukiwa siriazi katika kazi.
Unataka kufa njaa wakati fursa unayo? Changamka mwalimu.
"the highest risk shoud give the maximum profit"