HATA HILI TUMPE MUWEKEZAJI?
Ndugu wana jf karibu mlione hili.
Tanzania ni nchi iliyotamalaki Maziwa na Asali na kwa hili hakuna asiyelijua kuanzia wanavijiji,waishio mjini,Afrika ,mataifa yote ulimwenguni na Mungu pia.Ila pamoja na hilo taifa hili tunao viongozi wachache wenye uweze wa...