HATA HILI TUMPE MUWEKEZAJI?
Ndugu wana jf karibu mlione hili.
Tanzania ni nchi iliyotamalaki Maziwa na Asali na kwa hili hakuna asiyelijua kuanzia wanavijiji,waishio mjini,Afrika ,mataifa yote ulimwenguni na Mungu pia.Ila pamoja na hilo taifa hili tunao viongozi wachache wenye uweze wa kubuni mikakati ya kutumia Rasilimali za nchi hii na kwa maslahi ya watanzania wote,kwa Kudhihirisha hili Taifa letu tumeua viwanda vyetu ,tumearibu mfumo wa elimu yetu na kuwa tegemezi kwa mapepari (ambao mwl Nyerere hakupenda hata Siku moja washinikize nchi yake kwa hali yoyote hile na hii ni kutokana na roho yao ya kutotutakia mema waafrika mfano walitutawala kwa viboko kama mbuzi wakatupeleka utumwani na wengine kutukata mikono tuliodai haki zetu) matokeo yake hata Viongozi wetu walio wengi wamefana na wakoloni!!!!!!!Kifikra na kimatendo pia.Ndio maana wamekuwa wa kwanza kunena kuwa sisi watanzania hatuwezi fanya jambo zuri bila MAPEPARI(Wawekezaji) kutoka ulaya.Hivyo napenda kusema kuwa hata haya matatizo tumpe muwekezaji atakayefanya kazi bila kuvurugwa na serikali yetu, ayatatua tumulipe pesa yake lakini nchi yetu ibakie kuwa salama na mahali pazuri pa kuishi,matatizo haya si mengine ni yale yale yanasikika masikioni mwa watanzania kila uchao:
-Muwekezaji ataye komesha wimbi la wauza unga.
-Muwekezaji atakaye komesha wanaomwagia wengine tindikali na wanaolipua mabomu hata mahali patakatifu.
-Muwekezaji atakaye komesha majangili.
-Muwekezaji atayekomesha utekaji wa watetezi wa haki mfano waandishi wa habari n.k
-Muwekezaji atakayehakikisha anatokomeza wala rushwa na si kuwasamehe kama viongozi wanavyosema eti oho walejeshe pesa hizo kimya kimya bila kuwapa adhabu utadhani walikuwa wamechukua mkopo
Saccos,VICOBA n.k
-Muwekezaji atakayetoa mafunzo ya maadili kwa viongozi wetu na kukomesha kupigana ngumi kwa mambo madogo ya kutatuliwa na busara ya kusikilizana tu.
-Muwekezaji atayesimamia mfumo wa elimu utakaotoa mwanya kwa vijana kupata ajira na kupunguza ukahaba,wizi na kuepuka kununuliwa na wanasiasa.
-Muwekezaji atayewezesha kubuni na kuteleza mikakati ya kupongeza deni la Taifa.
-Muwekezaji atayesimamia hutoaji wa huduma za afya kwa wanajamii (Ambapo hospital zetu viongozi wanazitumia kama sehemu ya kupata huduma ya kwanza na matibabu hujiendea India kwani Hospital zetu hazina madawa na wataalamu wa kutosha ambapo Wataalamu wetu hukimbia Tanzania kwa kutolipwa vyema na kuamua kwenda nchi za nje kutafuta malisho mazuri (Green pastures).
-Muwekezaji atakaye simamia vitengo vya uamiaji haramu,Kutatua migogoro ya ardhi,police,mamlaka ya chakula na madawa(Kunusuru afya za watanzania) na mengine mengi muwekezaji akishapatikana nitaomba niitwe kuonesha mengine ambayo ningependa ayasimamie kwa manufaa ya taifa na mimi nitaomba kuwa msimamizi wa muwekezaji (Bila malipo) kwani wawekezaji siwaamini asilimia 100%.
Tutawaomba watupe Uhuru wetu wakikataa tutawashinikiza pia wakikataa tutawashitaki kwa Mungu (Mwl Nyerere).
UKWELI UTAKUWEKA HURU.
Mungu ibariki Tanzania.
Karibu huseme lolote ila Lugha chafu ni marufuku.