Recent content by not10xdeveloper

  1. not10xdeveloper

    JamiiForums Tanzania Telegram sipokei verification code

    Sana aisee, ni product ya Cloudflare wapo vizuri.
  2. not10xdeveloper

    JamiiForums Tanzania Telegram sipokei verification code

    This VPN worked for me, nina VPN premium pia ilikuwa hakuna code wala call inoingia. Thanks man.
  3. not10xdeveloper

    JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa Kwanini Hatuwezi Kupata Maendeleo au Baraka

    Kwa mujibu wako ww kuwa na mifugo na mashamba ndio maendeleo? Ata zama za sasa ivi kuna watu wana mifugo na mashamba na pia kuna watu hawana mifugo wala mashamba ila wana wake zaid ya mmja na watoto kama wote na wala hawana majina ya mababu zetu wala mila zao. Ingelikuwa iyo ndo factor pekee...
  4. not10xdeveloper

    JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa Kwanini Hatuwezi Kupata Maendeleo au Baraka

    kwanin hao mababu zetu ambao walikuwa wanafuata mila na taratibu zao pia hawakupata ayo maendeleo? Je, kufuata mila zetu za asili ndio biggest factor pekee ya kupata maendeleo?
  5. not10xdeveloper

    JamiiForums Tanzania Telegram sipokei verification code

    Hii issue ni ukiwa una sign up as new account so ktk ile hatua ya kusubir verification code ndo haiji, ila ukiwa tyr una account Yes, ukiwaasha VPN unatumia as usual.
  6. not10xdeveloper

    JamiiForums Tanzania Telegram sipokei verification code

    According to r/Telegram on Reddit, this is a worldwide issue.
  7. not10xdeveloper

    JamiiForums Tanzania Technology Yetu miaka 10 ijayo je tutakuwa wapi?

    NALA is glorified M-Pesa
Back
Top Bottom