Recent content by not today

  1. not today

    msaaada

    Kacheze pes mwaka huu hakuna cracked..au toa hela ununue
  2. not today

    msaada plz

    Hata sijaelewa
  3. not today

    Natafuta chumba cha kupanga kiwe karibu na ifm posta ila sio kigamboni.

    Mkuu uz wako unanihusu pia..ukipata sehem au dalal nirengeshe
  4. not today

    Apartment for rent in Lugalo Street, Upanga

    mkuu natafuta chumba upanga master naweza pata msaada wako au hata unipe mwanga tu au dalal..nitashukuru sana
  5. not today

    Kiongozi wa Msafara wa Rais akutwa na zaidi ya kilo 297 za dawa za kulevya

    wengine wameelewa habari na wengine ambao ni wengi hawajaelewa..anyway hata mm b4 mind yangu ilihama nikageneralize kumbe persona,jamaa katumia mali ya umma vibaya
  6. not today

    Boot menu COMPAQ laptop

    mkuu umeshindwa hata google au uvivu tu
  7. not today

    Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

    mkuu uje na picha kabisa nione nyuso za maskin wenzang naweza kupata faraja maana nahc kama npo peke angu..best wishes
  8. not today

    Sisi wa awamu ya tatu kwa mujibu mmoja wetu ajaribu hili

    HAHA KAZ KWEL..Unge suggest waweke vitisho kidogo pale kweny majina..jamaa wanavyojiamin wameandika very simple
  9. not today

    Sisi wa awamu ya tatu kwa mujibu mmoja wetu ajaribu hili

    wamekujibu nn mkuu...tujuze..me nili expect secretary wa kike...ile sauti HAPANA nimejifanya simsikii vizur..
  10. not today

    Sisi wa awamu ya tatu kwa mujibu mmoja wetu ajaribu hili

    SIMU ILIVYOPOKELEWA NIKAJIKUTA NIMESAHAU NATAKA KUULIZA NINIMawasiliano na Jeshi la Kujenga Taifa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa S.L.P 1694, Dar es salaam Simu:+255-22-2780588/2780712 Fax:+255-2-270048 Email: info@jkt.go.tz Website:Jeshi la Kujenga Taifa
  11. not today

    Orodha mpya ya mafisadi hii hapa!

    hawa ndio wale wacheza game za MAVIS BEACON si bure aisee
  12. not today

    Wale wa uchumi,weka neno la kiuchumi ambalo huwezi kulisahau..

    hahahaha mkuu nipe jina lako kwanza kwa pm
  13. not today

    Utafiti wa vyuo vikuu na taasisi tanzania

    na formula yako mkonon huw nakuona tu humu ndan unavyohangaika unataman mpaka wakuwekee speaker hapa jukwaan
  14. not today

    Kwa aliyeelewa hii kauli ya jkt

    ufafanuz unahitajka hapa
Back
Top Bottom