Recent content by NostradamusEstrademe

  1. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uongozi wa Wanawake kwenye taasisi huleta faida zaidi | London Stock Exchange

    Na ndio maana ukavunja ndoa ya yule jamaa yangu
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Sharti la Serikali kuleta cheti cha kusomea uchungaji ili kufungua kanisa (nimeikuta facebook)

    Dini ya kiislam waliandaa mazingira mapema mno dini yao kutochezewa hovyo. Mmeshawahi sikia muislam akijiita nabii?.Akitokea shingo yake halali kwao. Mmeshawahi sikia uislam ukishabikia shoga aruhusiwe kuwa imam wa msikiti?. Hii ilitokea Capetown Africa Kusini.Imamu alitaka mashoga...
  3. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Wapi chuo cha teolojia cha walokole

    Sina comment brother.
  4. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Leo nimemkomesha huyu mpangaji mwenzangu.

    Kwa ufupi wewe ni uncultured. Malezi yako yana mapungufu.
  5. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Wapi chuo cha teolojia cha walokole

    Kuna hujui neno Pentecost hutanielewa
  6. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Wapi chuo cha teolojia cha walokole

    Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha. Wakatoliki Kipalapala n.k. Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole. Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea. Mbona YESU wakati analeta...
  7. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huu ndio uraia wake na dini yake

    Punguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri. Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa. Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini? Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao...
  8. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Anna Tibaijuka: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za Wananchi dhidi ya utawala wa mabavu

    Kwa hili nakubaliana na wewe. Nimekuwa mbali kikazi kwa miaka 18 japo nilikuwa nakuja kuja kila mara nikiwa off. Namshukuru MUNGU kwa kweli nina mwanamke anajua kusimamia rasilimali na kuanza mpya. Nimeshastaafu kwa mujibu wa sheria sasa nimerudi tuyaendeshe maisha. Pamoja na yote nimegundua...
  9. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

    Marangu
  10. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Je, Mgawanyo wa Vyuo usio na usawa unalenga kuminya baadhi ya mikoa au kanda na kurahisishia wengine kuingia kwenye taasisi, idara, n.k?

    Ndugu zangu mfano think2 Sumaye ameshawahi kukiri walipokosea.Walianzisha vyuo vikuu vingi kama utitiri bila kuzingatia nafasi za ajira. Vyuo vimekuwa vingi mno ni ajabu eti madaktari na walimu wanakosa kazi?. Tulikosea sana kuisahau elimu ya vitendo yaani vyuo vya ufundi.mfano VETA. Sina...
  11. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi hakuna muhalifu atakaetoroka nchi

    Hata avatar name inaweza akisi tabia ya mtu Tlaatlaa yaani tararira
  12. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Je, Mgawanyo wa Vyuo usio na usawa unalenga kuminya baadhi ya mikoa au kanda na kurahisishia wengine kuingia kwenye taasisi, idara, n.k?

    Mwamko wa kujenga chuo sehemu wakati mwingine inatokana na tabia ya watu wa sehemu hiyo. Watu wanaendekeza kucheza ngoma na ushirikina unategemea nini. Pia msije dhani eti chuo kikijengwa sehemu flani wakazi wa eneo hilo watapata fursa kuingia kusoma kiulaini. Kuingia chuo ni lazima uwe na sifa...
  13. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Je, Mgawanyo wa Vyuo usio na usawa unalenga kuminya baadhi ya mikoa au kanda na kurahisishia wengine kuingia kwenye taasisi, idara, n.k?

    Zanzibar chuo kikuu kilikuwepo toka mama akiwa mdogo.Msimsingizie mama wa watu.
Back
Top Bottom