umejieleza vema..... ila blaza sikia......dili ndio humchomoa mtu pangoni......ikija unapiga unasonga, ukijichanganya unadhulumiwa, tunasonga......ishu ni kuwa jasiri katika kila pambano.....hii dunia haina huruma kabisa..... na bata ni lazima.....ibada nayo ni lazima.....kusaidia jamaa ni...
wakati unamkaza akili zako zilikuwa wapi?,,,,, 4 months na mimba juu...... washirikishe jamaa wa karibu unaowaamini, omba umtunze akiwa kwao, simamia hilo....... je mimba ni yako kweli dogo?.........kubambikiwa ndio style ya wasichana kwa sasa......kuwa makini......wote wawili ujana bado...
na mwanaume lazima apambane kwa gharama zozote, akupate, akukule asepe......eat & run.....za kuambiwa changanya na za kwako......maisha hayasimami kamwe
sio kila demu unaenda uvinza wewe......utalamba vitu vya ajabu uishangaze dunia......sawa tunyonya mpaka KJ, ila hakikisha ni nyapu yako, mchumbako au mkeo haswaaa......iko na ladha yake.....ila hivyo viruka njia usijaribu hata mavi havijitawazi vema......kuwa makini na uasherati wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.