Hizi bangi sijui vijana mnavutia wapi, kwa hiyo wewe unadhani nchi inaendeshwa kienyeji sio. Rias wa nchi hii ni Samia hayo mawazo yako peleka kwa wavuta bangi wenzio.
nijuavyo mimi kuna wakati vyama vya siasa vinasaini kanuni za maadili ambazo ndio zimesainiwa juzi na vyama 18 isipokuwa CDM na wakati wa uteuzi wa wagombea ndio kila mgombea anasaini fomu na. 10 ya kuheshimu maadili kwa hiyo hapa naona Heche anachanganya
CDM si mmeshasusia uchaguzi? tulieni Kailima anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu sasa kama unapinga hoja zake pinga kupitia sheria kama alivyofanya yeye
Hii taarifa nina mashaka nayo NEC ninayoijua Mimi haifanyi kazi zake kienyeji hivi huyu mtu kakaa tu kujitungia huu upuuzi wake NEC wapo straight sana kwenye utaratibu kwenye mambo yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.