Recent content by Noor Hassan

  1. Noor Hassan

    Kifo cha CCM kimetimia

    Hiroshima ni kura za wajinga ndio zinatugharimu
  2. Noor Hassan

    Pinda kushitakiwa kwa kauli zake tata "wapigwe"

    Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa na serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu ,matumizi ya nguvu kupita kiasi ,kutumia ubabe ktk maamuzi yake na kuwafanya wananchi wasiokuwa na hatia kuwa wakosaji. Mambo hayo ndio yanayosababisha...
  3. Noor Hassan

    Kifo cha CCM kimetimia

    Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa na serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu ,matumizi ya nguvu kupita kiasi ,kutumia ubabe ktk maamuzi yake na kuwafanya wananchi wasiokuwa na hatia kuwa wakosaji. Mambo hayo ndio yanayosababisha...
  4. Noor Hassan

    Green Guard na mavazi ya kijeshi

    mathias paul lyamunda
  5. Noor Hassan

    Green Guard na mavazi ya kijeshi

    Niliwahi kupost kwenye mitandao ya facebook kuhusu hatari ya raia kuvaa nguo zinazofanana na sare za jeshi. Post ambayo ninaamini ilileta mabadiliko makubwa kwani baada ya muda tuliona wa2u wakikamatwa na kuonywa wasizivae . Pengeni unaweza kujiuliza ni kwa nini niliandika mada...
  6. Noor Hassan

    Sakata la kutekwa, kuteswa Kibanda: Maggid Mjengwa ahojiwa na Polisi!

    haya tunayoyasikia na kuyaona kuna jambo nyuma ya pazia. Ccm wana lao
  7. Noor Hassan

    Fikra mpya ndio njia sahihi

    mathias paul lyamunda
  8. Noor Hassan

    Fikra mpya ndio njia sahihi

    Ndugu zangu haswa wale waelewa ,akili iliyoshindwa kujitambua ni mzigo kwa maendeleo ya watu na taifa .kwa kuwa akili angavu ni chimbuko la asili zenye kuleta mapinduzi ya ndani ya nafsi yenye matumaini ya maisha ya kijamii. Mapinduzi ya nafsi yanaondoa utumwa wa kukubali kuonewa / kunyonywa...
  9. Noor Hassan

    Serikali yatenga sh 1bn kwa ajili ya mazishi ya viongozi wa taifa!

    MAMBO MENGINE YANACHEKESHA SANA KWA SERIKALI YA CCM Katika hali inayotafsiriwa kuwa ni ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma, Ofisi ya Waziri Mkuu, imeomba Shilingi bilioni moja kwa ajili ya kuwazika viongozi wa kitaifa watakaokufa katika mwaka wa fedha unaoanza Juni, mwaka...
  10. Noor Hassan

    Barua ya wazi kwa viongozi wa chadema na wanaharakati

    Barua ya wazi kwa viongozi wa chama cha demokrasia ,( chadema ) ,wanaharakati wote na wapenda mabadiliko. Ndugu zangu napenda kutoa somo ,au hoja ya kujenge mwamko na ujasiri kwa wananchi kuliko kupiga kampeni za kila mwaka kwa umma ambao kuna watu bado hawajaamka. Niliwahi kutamka...
  11. Noor Hassan

    Kifo cha CCM kimetimia

    Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa/ serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu ,matumizi ya nguvu kupita kiasi kutumia ubabe / vitisho ktk maamuzi yake ,unapoona vyombo vya dola vinaacha kuwatumikia wananchi na kuanza kuwatumikia watawala na chama...
Back
Top Bottom