Recent content by Nonda

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Mafisadi imekufa kifo cha kawaida?

    Hiyo Mahakama imehamia IKULU. Ripoti (status) hii hapa Link https://www.jamiiforums.com/threads/ikulu-washtakiwa-467-wa-uhujumu-uchumi-wapeleka-maombi-kwa-dpp-wakitaka-kukiri-makosa-yao-na-kurejesha-takribani-tsh-bilioni-107.1634036/
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?

    Link https://www.jamiiforums.com/threads/tundu-lissu-kuwa-makini-na-chadema.1604724/page-2#post-32108445 Link https://www.eatv.tv/news/current-affairs/tutanyolewa-bila-maji-tundu-lissu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

  4. N

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi asitufanye watanzania wote ni wajinga tusioweza kutafsiri maneno mepesi ya kiingereza ya "disappeared and died"

    Tumewapa nafasi waimba mapambio. Sisi huku kitaa tunakula bata wa uchumi unaokua kwa kasi ya asilimia 7. Ninampango wa kuhamia karibu na hifadhi ya Chatuburugi.Ukuje kunitembelea.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi asitufanye watanzania wote ni wajinga tusioweza kutafsiri maneno mepesi ya kiingereza ya "disappeared and died"

    "Bikila" Malia alikuja kubadilishana mawazo nami. Weye! Unataka mabikira? Jaza fomu ya order, unitumie au mpe mmoja ya "wasiojulikana" watanifikishia. Tupo pamoja Bwana mla kima kugawana faida ya uchumi unaokua kwa asilimia 7.3
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Julius Mtatiro kuwa mkuu wa Wilaya ya Tunduru - Ruvuma

    Alitegemea ubalozi alipoamua kuunga mkono juhudi. link https://www.jamiiforums.com/threads/julius-mtatiro-ndugu-zangu-watanzania-hakuna-aliye-salama.1422240/
  7. N

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi asitufanye watanzania wote ni wajinga tusioweza kutafsiri maneno mepesi ya kiingereza ya "disappeared and died"

    Ipo siku pia atakanusha kwamba hakusema yeye aliokotwa jalalani.
  8. N

    JamiiForums Tanzania After he is gone, then what?

  9. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

    Ndiyo hiyo hiyooo mnayosema ... inteprenuwaaa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Huku nchini Peru na mifuko ya we plastiki

    Hapa serikali imebuni chanzo kipya cha mapato. Askari wanaweza kukubambikizia mifuko ya plastiki ili iwe "fundisho" kwa wengine. Ni vyema kulinda mazingira.
  11. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

    LIP - Lest(rest) in Pipeline.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ni kina nani hawa wanaotishia usalama wa Rais wetu kiasi hiki?

    Duh. Anapiga vita uchumi? Hili unalosema linawezekana kwa sababu inasemwa uchumi umewekwa juani, unakauka na kusinyaa. Wafanyakazi wa umma nao ni mafisadi au wapiga dili? Hata nyongeza halali, annual increment, nayo haiwezekani kulipwa? Kwa uendeshaji huu wa vita ya uchumi lazima uchumi ukue...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Zitto aamua kumtolea uvivu bwana mkubwa

Back
Top Bottom