Recent content by Noncommited

  1. N

    JamiiForums Tanzania Serikali: Uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu unakwamishwa na CHADEMA

    Lissu alikwishakijibu hilo. Dereva alipewa passpot na wizara ya mambo ya ndani kusafiri kwenda Nairobi na hata kusafiri Nairobi kwenda Ubelgiji, dereva alikuwepo hospitali Dodoma siku ya Tukio kwanini hamkumkamata? Mlipigwa upofu na Mungu makusudi maana mngemkamata mngemtesa au kumuharibu akili...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Muda ukifika nitazungumza

    Maalim na watu wake wa Zanzibar wakihamia CHADEMA ni pigo kuu Takatifu kwa CCM maana misheni yao ya kuiua CUTF Zanzibar itafeli vibaya mno. Just imagine muungano wa CUF na CHADEMA via UKAWA ulivyoifanya Maalim na CUF yake kuishinda CCM kwa gapu kubwa sana haijawai kushinda kiasi hicho. Sasa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ukonga: Wananchi waonesha kukosa imani na Waitara

    Hilila Lissu litawatesa miaka mingi sana ccm na serikali yake
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamkaribisha Maalim Seif na kuahidi kumpa ugombea Urais Zanzibar

    Seif kasaidiwa sana kupitia mawakili, mawazo na misaada mengineyo zaidi matokeo chanya hayaonekani maana viongozi wote wakubwa bara wako upande wa Lipumba na ccm (Mtatiro, Sakaya na wabunge wengi) CHADEMA wanashambuliwa, CUF Maalim wanashambuliwa dawa ni kuunganisha nguvu, Umoja ni nguvu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamkaribisha Maalim Seif na kuahidi kumpa ugombea Urais Zanzibar

    Kwanini wanao hama CDM wanahamia CCM na sio vyama vingine? Seif akihamia Jahazi asilia, TADEA sijui vyma gani huko atapona au yeye mwenyewe atakubali? Maalim Seif ni mpambanaji wa muda mrefu nguvu zake ni rahisi kufanikiwa akiwa CHADEMA kuliko vyama vingine. Maalim alionyesha nia ya kushirikiana...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi wengine wawasili Mikumi kuhudhuria Mazishi ya Baba wa Profesa J

    Kwani msiba wa kaka wa Mbowe ccm walihudhuria? Msiba wa mbunge Kasuku ccm walihudhuria? Mbwai Mbwai
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mkuchika: Hakuna Mafao Kwa Waliogushi Vyeti

    Iko siku utakuja utawala mwingine na hao wafanyakazi watalipwa stahiki zao. Tuombe Mungi iwe 2020 au hata awamu ya 2025. Mungu Ibariki Tanzania
  8. N

    JamiiForums Tanzania Sijaona faida ya Ziara za Rais wetu Magufuli

    Hizi ziara zitamfanya akose mvuto kwenye kampeni zake 2020 otherwise NEC wakimbie ofisi siku ya kurudisha fomu ili wagombea wa vyama vya Upinzani washindwe kuwasilisha fomu zao nae apitwe bila kupinga
  9. N

    JamiiForums Tanzania MOSHI : Mbowe, DC Hai 'jino kwa jino'

    CCM inakaribia kufa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Kambona ni hero na angekuwa anatoka kaskazini angepewa sana heshima na kukumbukwa tatizo ni kabila na sehemu anayotoka hawapendi kuvitukuza vya kwao (Wanyasa wa Mbinga mkoani Ruvuma)
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kila tone la damu yangu litajenga muungano usiofutika

    Hakika Tundu Lissu tuko pamoja
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zitto atoa utaratibu maalum kukumbuka Tundu Lissu Day

    Inshallah!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Agizo la Waziri Mkuu: Wafanyabiashara watatu wakamatwa kwa kuficha mafuta ya kula mjini Songea

    Songea hakuna uhaba wa mafuta wala kupanda bei. kuna watu wanataka wasikike tu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya mbunge John Mnyika ya kuzuia bajeti ya Wizara ya Maji isipite

    :D:D Uza bombadier hudumia wananchi wako Maji. "MAJI NI UHAI"
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya mbunge John Mnyika ya kuzuia bajeti ya Wizara ya Maji isipite

    Uza bombadier hudumia wananchi wako Maji. "MAJI NI UHAI"
Back
Top Bottom