Hatimaye umeuona ukweli mwenyewe, kurusha risasi 38 kwa target inayoonekana (clear target) maana yake ni kwamba Mwenyezi Mungu aliamua kushika ufahamu wao, wangeweza kwenda kwenye gari lake dirishani ba kumpiga risasi 1 tu lakini Mungu akazishika akoli zao ili MIpango take aliyonayo Kwa...
Nape, who told you that Democracy is confined only to the MPS? that if the Mps are allowed to conduct political rallies in their respective constituencies then that is democracy ( Nape's interpretation)
He further narrated that we should not compare the American democracy vis-a-vis of Africa...
Ndugu Watanzania
Ni wazi sasa Jerry muro anao mradi wake ambao ameamua kuutekeleza blindly bila hata kufikiria vizuri akisahau ujumbe katika wimbo wa Siku-hazigandi (Lady jaydee). anaendesha maisha yake kama vile maisha kwake ni swala la leo tu bila kuangalia kesho itakuja vipi. Haijawahi...
Hivi unaposema hata Mh, Sitta alifata utaratibu huo swali ni je wakati mzee Sitta anaugua alikua anawadhifa upi ndani ya bunge? Kipi kinakufanya ulinganishe status ya Mh, Tundu lissu na Mzee Sitta? ili kuweka kumbu kumbu sawa Tundu lissu Ni mbunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Wakat Mzee...
There were multiple shooters
The numbers of bullets (25) has got the hidden message for those with active brain
The truth is that the multiple shooting was just a camouflage
Lets pray for Our beloved hero.
Mleta mada umekosea kutafsiri kilichotokea mahakamani. lakini sio kosa lako ila kosa lako ni kutojishughulisha kuyajua yale anglau unayoyapenda. Kilichotokea mahakamani sio hukumu ya kesi mzee. next time usikimbilie kuandika kwanza tulia kusanya taarifa na kama taarifa unazo basi zichambue...
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani...
Zitto kabwe siku zote ni mtu wa ajabu anayeishi katika dunia ya leo. Akiwa kiongozi wa chama cha Siasa maana yake anazo fikra tofauti na vyama vingine ikiwemo CCM, Maana yake ni kwamba anao mtazamo ambao anatarajia kutimiza siku chama chake kikipata ridhaa ya kuongoza nchi.
Sasa hoja inakuja...
Najiuliza what went wrong with you? should we believe that you no longer credible enough to run the show?
Hivi Mimi hapa Ambaye sio mwanachama wa ACT au CCM nawezaje kwenda na kumfukuza katibu mwenezi wa ACT au wa CCM? Hii ni sawa na alichofanya lipumba ambaye SIO mwanachama wa CUF na kupretend...
Paskali ni sawa kwamba ukichukulia only population tribal proportions lakini si kweli kwamba katika uteuzi lazima wajitokeze wengi katika uteuzi kwasababu uteuzi unakuwa na vigezo, na vigezo hivi ndivyo vinavyo ondoa usahihi wa hoja yako.ukweli mwingine kwa jicho la tatu naliona tatizo la msingi...
Tujitegemee
TUJITEGEMEE Umechekesha kweli, unasema Lissu kakuudhi ndo maana umeandika mengi, yako wapi hayo? Au ni haya ya kwamba msifungiwe misaada ili muendelee? alafu unajiita Tujitegemee sasa ukija kuandika jitahidi kujibu hoja si umesikia Alichosema Lissu sasa kipi hakieleweki hapo?.Hivi...
HOJA ZA Mh Tundu Lissu
1.Tribalism
2.Nepotism
3.Double standard ( mikutano ya polepole wakati katibu mkuu chadema anakamatwa kwa kile kile afanyacho polepole) mind you polepole hafanyi makosa kwa kufanya mikutano vile vile Mashinji hakufanya makosa vilevile lakin alikamatwa.
4.Kupora mamlaka za...
Mwana bodi.
Nimesoma ujumbe wako ulioutoa dhidi ya tundu lissu, na umetoa maoni yako kwamba Mh Tundu lissu amekosea approach aliyoitumia kataika kupinga udikteita.
Umetoa utaratibu unaotakiwa kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria ili kupinga udikteita Mahakamani, sas basi ni ama umekosea makusudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.