Recent content by no'me no'you

  1. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

    Kichekesho!
  2. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Tuwekeeni picha ya Mage please
  3. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Kazi iendelee
  4. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Unakata kuniambia kwamba unaamini pia umughaka genuine ni bodaboda na bado anapata nafasi ya kuandika makala kama hizi?
  5. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Mimi na Baba tutamsamehe vipi Mama? Nami nitawezaje msamehe Mzazi wangu?

    Tafuta hata majina bandia ta kuweka kwenye story yako badala ya kusema mtu anaitwa xxxx
  6. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    'Wewe pia sio mtu wa kawaida' una kipaji kikubwa sana. hongera
  7. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanaume anaweza kuonesha dalili za Ujauzito badala ya Mkewe

    uoga tu wa majukumu huo.
  8. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

    acha siasa. mchungaji wako alishajisahau sana kwa mambo ya kimwili
  9. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Kwenda Dodoma saa tatu; kwenda Dar saa tano, tatizo ni nini?

    1. kipande cha Dar~moro sehemu kubwa ni makazi ya watu na kuna speed limit (50kph) 2. msongamano wa magari ni mkubwa zaidi kipande cha dar~moro hata hivyo tabia ya hizi barabara hubadiliki kulingana na muda, ukiendesha usiku mkali inakua tofauti na mchana
  10. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Kwenda Dodoma saa tatu; kwenda Dar saa tano, tatizo ni nini?

    duh! walimu wana kazi nzito!
  11. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    we nawe sijui wa wapi! mawaziri wanaishi maisha ya kifahari kwa kutumia hizo hizo kodi na bado hushtuki!
  12. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kukopa kwenye benki inajiita DCB, utakuwa umeingia kwenye mtego

    tatizo liko hapo kwenye miaka 7.
  13. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi, kama UKAWA na CCM haitashinda ndio utakuwa mwisho wao

    Haya mawazo yako ungeyatunza mpaka baada ya uchaguzi ndio uyalete hapa.
  14. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania GE2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    Tanzania inakuhitaji kuitumikia kama mbunge katika umri huu kaka Mtatiro. Kwanini usigombee kupitia jimbo lingine liliachiwa kwa CUF?
  15. no'me no'you

    JamiiForums Tanzania Haya sasa, sarafu yetu ya MIA TANO hii hapa!

    Kibongo bongo kila upande ni majanga
Back
Top Bottom