NAITAJI MWEYE UJUZI WA MAMBO YA WEBSITE PAMOJA NA SYSTEM NETWORKING, KWA AJILI YA MATUMIZI YA KISHULE ZAIDI.. NAPATIKANA MKOANI MUSOMA . N0 (0765813311)
Habari ndugu.. St Sebastian Memorial Academy inawatangazia nafasi za kufundika mkoani Mwanza-Sengerema.
Walimu wanaohitajika wawe wakufunzi wenye PCB/PCM/CBG/CBN na biashara.. Kuanzia stashahada ..
Kimo cha mshahara ni kizuri kulingana na mazingira mazuri ya kufanyia kazi shuleni hapo...
Habari za wakati huu wanajamii formums
Naomba kufahamishwa muda wa ufunguzi/kureport chuoni kwa sie tulochaguliwa DIPLOMA YA INFORMATION SYSTEM AND NETWORK ENGINEERING KUPITIA NACTE.
Pia naomba kujua sifa za chuo kitaaluma kwa upande wa ICT.
"May God Ahead you"
Kwa wale wakazi wa KAGERA-BUKOBA na maeneo jirani...
waweza kupata huduma za
1.installations of Microsoft windows and Debian
2.web-hosting with best 5 customizing web-hosting panels
3.Dbmsecurity
4.Graphics in designing- logos,
and all abaout ICT supporting
cont...
Refer the heading of the title stats.am a boy seeking a job of information technology as my qualification is and based on certificate...
am abbe of using computer through its skills such as
1.designing of static website
2.networking and administration
3.programing and database
4.computerized...
Wadau wa jukwaa la elimu habarini za saivi.
Naombeni msaada kwa wote wanaoweza kuniwezesha kufanikiwa katika FIELD yangu kupitia taaruma ya TEHAMA/ICT ngazi ya cheti.
Ninaitaji sehemu ya kwenda mwezi wa kwanza mwakani na ninauwezo wa :-
a)kudizine website using dream weaver and HTML...
Seriously am running with the family causatives and comfricts amang themselves leading me to seek out responsors of paying my collage fees.
Throught ICT empowering [information and communication technology] learnit collage of bussines and Technology at posta,dar es salaam
for anyone who need...
kwa elimu tulonayo sasa ni mbaya kwani wanafunzi hawaumizi kichwa sana ukipata tu point 30 unaenda zako advance wakati kipindi kileee unaumiza kichwa chuo gani niende.
Wadau kwanza za saa hizi natumai niwazima.NINAMASHAKA KIDOGO KWA UPANDE WANGU KUHUSU CHUO nachosomea mambo ya INFORMATION TECHNOLOGY AND ENGEENERING
_naombeni mnisaidie JINSI gani naweza kutoka kimaisha na hiyo course??
VITU GANI NIZINGATIE mpaka pale ntakapo fanya graduate ya degree chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.