Jifunze ndugu, mavazi ni utamaduni tu wa jamii fulani, hata wakristo wanaoishi uarabuni huvaa makanzu kama utamaduni wa kule na sio kama dini, Tanzania hakuna sheria inayomzuia kuvaa mavazi mavazi apendayo ilimradi hayavunji maadili ya kitanzania, hata akivaa shuka kama mmasai. Kingine...