Wakuu natamani sana kuanza upya utaratibu wa kusoma vitabu maana nilianza awali nkaishia kati kama sio kushindwa kabisa ....je nifanyaje ili nijue kipi kizuri na kinanifaa kwa wakati huo ...halafu vingi vilikua vya soft copy sasa vikawa vinanichosha sana ...msaada tafadhari
Sent using Jamii...
Mkuu nilichosoma ni maelezo ya inner peace
...lakini sijaona nin cha kufanya ili kupata hiyo inner peace ...na pia jinsi ya kufanya meditation ..msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu, kuna kitu kinanitatiza na nahisi kwangu kina umuhimu. Suala la utulivu wa akili yaani Meditation.
Nimesoma kwenye post tofauti zilizopita humu na katika blogs kadhaa lakini bado sijajua naweza vipi kufanya meditation.
Tafadhari mwenye uelewa juu ya hili msaada naomba kwa...
Habari za wakati wana JF wenzangu __hop e mko salama kabisa .Hoja yangu ni juu ya fani gani inalipa sana kwa sera ya nchi ya sasa na zitakazo kuja kwa upande wa ajira na uwanja mkubwa wa kujiajiri kati ya mtu mwenye Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) na yule mwenye Medical Doctor (MD )...
Kweli kabisa we have to fight mpaka tone la mwisho ...sikuiz watu wanakaa kulinganisha mishahara na utajili wa watu daah hii ndo bongo PAMBANA YA HELA YOOTEE ASEE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Wakuu habari za majukumu..Ukiachilia mbali taaluma za kila mmoja lakin natumaini ni ngumu kufikia malengo yako kiuchumi bila kuwa na Plan B
Mim ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja wapo hapa Tanzania..lakin kutokana na ugumu wa ratiba za chuo chetu nashindwa kuthubutu kuanzisha biashara yoyote ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.