Recent content by Noe kidumage

  1. Noe kidumage

    Tupia picha ya mwandiko wako tuone ulivyo mzuri/ mbaya

    M sina karam ila tu nna MB za kushato. Tuma 2000 ninunue karam,
  2. Noe kidumage

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Bora kumpa chance 20 mpenz wako mmoja kuliko kudate na wapenzi 20 tofaut, bora kuwa mjinga kuliko kuwa malaya
  3. Noe kidumage

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Wakuu hongereni kwa kuwa member wa jf, m n mdau mzur sana wa nukuu (quotes) naamini hizi nukuu zimenisaida kwa kias fulan kufika hapa nilipo, kuna wakati zinanifariji, zinanifurahisha na kunihuzunisha pia, nazikubali sana nukuu za hayati Mugabe, "nachukua dk 2 za masikitiko kwa ajil ya...
  4. Noe kidumage

    Fahamu jinsi dunia itakavyohamishwa na Wataalamu miaka ijayo kutoka kwenye orbit yake kuokoa kumezwa na Jua

    Kulipua jua ni kitu kigumu kwa sabab jua Lina joto Kali zaid ya chochote hivyo kombola haziwez hata kulikaribia jua, Labda niamini walivodai 2029 watailipua sayar ya nibiru ambayo itakuja kuigonga dunia 2029. Inshalaah mungu atuepushe na mabalaa
  5. Noe kidumage

    Wanajamvi karibuni kwenye uzi huu wa kero znazotokea popote ndani ya Tanzania

    Wanajamvi her ya Christmas na mwaka mpya, Leo n siku ya mwisho ya mwaka. Asa katika Uzi huu naomba tuambizane kero ambazo hutaki zijiludie tena mwaka kesho. Kero yako inaweza ikawa mazingira ya ofisini kwako, dukani, mtaani, nyumbani, msikitini, kwa wapangaji, kwenye siasa, uchumi, hata...
  6. Noe kidumage

    Maneno ya kiswahili yaliyo pata kiki awamu ya tano

    Acha maneno weka mziki, maku(ney) Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Noe kidumage

    Namna ya kubadili rangi kwenye thread na style nyngne nyingi hapa JF.

    Namna ya kubadili rangi kwenye thread na style nyngne nyingi hapa JF. :D:eek::rolleyes::( Tufundishane ujuzi huu Wa kuchange rangi
  8. Noe kidumage

    Chumba Mbeya

    Mafiati hapakufai?!
Back
Top Bottom