Tulipoenda kupima kila mtu alienda kivyake na mimi nilidai kuwa nimemsindikiza na lilipokuja suala la kuchukua majibu kila mtu alimshirikisha mwenzake lakin hatukujitambulisha kuwa sisi ni wapenzi.
Jibu ktk swali la Amu.
Mimi ni kijana wa miaka ishiri na nne ninaishi hapa mkoani Arusha na pia ni mwanachuo ktk chuo kimoja kilichopo karibu kabisa na hospitali ya seliani mjini.
Ninae mpenzi wangu ambae tunapendana sana na mapenzi yetu yalianza miaka miwili iliyopita na ktk miaka yote hiyo hatakuwahi kukutana...
Hakuna majungu ktk ukweli,ni bora kukaa kimya ili kesho niseme nilizungumza.
Siyo kila ki2 wanasiasa watasema vingine 2seme cc.
Na2maini ujumbe umefika kwa mkuu wa mkoa.
Sipokubishana na m2 nipo kueleza kero.
Uelewa ni jambo la msingi sana.
Tunapoongelea mambo yawahusuyo wananchi ni vyema kuyajadili kwa marefu na mapana.
Sijaleta hoja hapa bali nimeleta kero na pia gari zinazokata ruti zinajulikana ila watu ha2po kwa ajili ya kuyataja magari hayo kwani a2shindwi kuchukua namba za gari na mkuu wa...
Kwako mkuu wa mkoa wa Arusha.
Nimeamua kukuandikia ujumbe huu baada ya kuona kuwa kero ya usafiri ktk mkoa wako ikishika nafasi kubwa na kuleta kero kwa wapiga kura na watanzania wa mkoa huu.
Hiace zitokazo mjini na kuelekea maeneo ya Tengeru na kuendelea,zimekuwa zikikata ruti na kusababisha...
eeeeeee mubgu muhurumie mtu huyu kwani hajui atendalo walo aliwazalo,wakati wengine tukizungumzia Tanzania na jinsi ya kuilinda nchi yetu dhidi ya maadui wanaoitamani Tanzania yeye anakuwa wa kwanza kutupinga.
Eeeeeeee mungu mpe maarifa mtu huyu kwani kasahau hata enzi ya nyerere wako...
Kwako
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete.
Pamoja na changamoto nyingi ulizonazo kama raisi na kiongozi wa jamuhuri ya watu wa Tanzania.
Pamoja na kuwepo katika harakati mbalimbali za kuhakikisha Tanzania na watanzania wote wanaishi kwa usalama na amani katika nchi ya Tanzania.
Kama watanzania...
anaedai kuwa dini ya kikwete inamruhusu kuzini,ni ishara tosha mtu huyo hamjui kikwete na wala haijui dini yake.
Suala la dini siyo kukurupuka na kujisemea tu,kuwa makini na unachozungumza
umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
hii na kauli nyingine ni vitu ambavyo siyo vigeni ktk masikio ya wengi wala akili za binadamu.
Umoja ni kitu cha pekee katika kujenga nguvu na mshikamano katika jamii yoyoote ile.
Ili kuwa na nguvu zaidi na kuepusha udhaifu katika jamii yoyote ile basi...
Kwa hili maandamano yatazidi kuwa njia ya kutete haki ya mtanzania.
Siyo kwamba mimi ni mmoja ktk waandamanaji au washabikia maandamano,lakini kwenye haki isimwe haki,hakuna haja wala umuhimu wa kodi kulipiwa,huu ni wizi na ufisadi wa wazi wazi unaofanyika ili kumkandamiza mtanzania.
Leo hii...
Habari za mida,tunakutana tena tukiwa na afya tele na mungu anajaali uzima,hizo zote siyo ujanja wetu bali ni uwezo wake huyooooooo anaemiliki dunia hii. Dunia yetu ni nzuri lakini wapo wachache wenye roho mbaya kuliko mbwa mwitu na wao ndio wanaotaka kutuharibia dunia hii.
Kwa siku ya leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.