Nimeamini ww ni bonge la mwongo na kwa hakika subiri tr25.Mm nilikuwepo na manyunyu yamenitakatisha hapo uanjani pindi kingunge anaongea na wananchi wakawa wanampigia kelele aendelee pia leo Lowasa ameongea zaidi ya dk10 tena mambo muhimu!
Karibia robotatu ya waliohudhuria walitoka nje ya jiji la Arusha na ushahidi ni pale watu kama ni wenyeje wa Arusha kwa nn waulize maeneo haya hapa chakula kinapatikana wapi! pia wengine walienda Fiesta!
mbona kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii wameripoti ni mamia ya wananchi walihudhuria,sasa hiyo 3000s ya wanachama wa chadema ilikuwa mkutano gani? au ndo watu38 na ninyi siku hz mnazidisha kwa 100? Nyamafu nyie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.