Inawezekana wewe ukawa ni mmoja wa wanawake wengi waliochoka kiakili kwa tshirt na vilemba. Maana mikutano yenu hujaa wanawake masikini tena wenye mawazo finyu.
Ndugu zangu wana cdm tuwe na uvumilivu kila inapotokea hoja ya inayohusiana na mambo ya udini. Kwani mara nyingi huwa zinakua na lengo la kutuvuruga na kututenganisha. Hivyo tuwe makini sana kwa kuangalia hoja inayotolewa inakua na madhumuni gani.
Acha maneno yakejeli na dhihaka kwetu watoto wa masikin. Kama wewe na mafisadi wenzio mmesoma ACADEMY kimpango wenu. Nani kakwambia shule za kata ni walopokaji na wafanya fujo. Toa maneno ya kufananisha na hoja yako sio shule za kata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.