ukimsifia mkewako kwa mambo ya 6to 6 ni sawa na kutoa siri zako za ndan ambapo sio maadili mazur na kama unamzalilisha mke wako, na isitoshe unawapa nafac hao unao waambia kutaka wamuonje mke wako ili wajue kama kwel hizo cfa unazozisema anazo.
ebwana labda huyo hajajua maana ya ukawa, na nadhan hafuatilii siasa kwa ukaribu, sio lazima chadema iwe na wanachama wa kutosha kule Zanzibar, bali ile hali ya kuungana tu inawatia nguvu wanachama wa CUF kumpa kura salumu mwalimu kwan ni vyama tofauti lakini vyenye dhumuni moja.
aiiiiii! kikwete! yule ambae alitangazia umma tena na kujifanya kama yy ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kuwa kura ya maoni itafanyika April 30 na ikaja tume huru ikakanusha? kikwete yule ambae aliwasaliti akina cheo kule dodoma kuhusu kuhairisha upigaji kura kwa katiba pendekezwa? nan...
ni vizur ukatafakari kabla ya kufanya jambo lolote lile, kama ungekuwa na busara, usingezungumzia upande wa wanaume tu, je wanawake mnaishi vp? Au mnategemea wanaume tu? Unajua utafutaji wa pesa ulivyokuwa na changamoto? Na ukae ukijua kuwa mpaji ni mungu.
coz kama ulivyosema kuwa kumsahau ni ngumu bt ungejaribu kutueleza sababu ilikuwa nn kilichofanya muachane so hata cc humu jf tutakuwa na uwanja mkubwa wa kukupa mbinu mbadala kijana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.