Recent content by Nnamdi Jr I

  1. Nnamdi Jr I

    If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

    amina na Mungu yupo kwa kila jema lifanyike kwa uzima na uhai wa mama nakuombea uvumilivu na malezi mema ya familia upendo wa dhati juuu ya ndoa yako na familia yako Karucee
  2. Nnamdi Jr I

    PICHA: Yaliyojiri katika mkutano wa CHADEMA Mbeya - Aprili 24, 2013

    Jamani tuwe wazi nasindwa kuficha Hisia zangu maana jinsi moyo wangu ulivyokuwa na furaha na chama hiki basi tu najua job ndio tatizo lakini aaaaaaaaaaaaaaaaaah kwa chadema lolote na liwe.
  3. Nnamdi Jr I

    Ndoa bila Tendo......Msaada

    ushauri mnzuri sana swla jingine ni nyema wakatoka mazingira hayo na kwenda sehemu tulivu sana then amweleze mumewe kistarabu yani wakiwa katika maandalizi mume ajiandae kisakolojia mawazo yote yawe kwake pia adhalau hisia zinazojitokeza kwa wakati huo, Pili kama familia kujikabidhi mikononi...
  4. Nnamdi Jr I

    Hodi wana Jamvi

    Poleni na majuku ya ujenzi wataifa tushiliki pamoja katika kujadili na kutatua matatizo na maendelo ya taifa letu na tusiishie hapo bali tufanye kwa vitendo bila uwoga wala vitisho kwani bado katiba inatulinda. Nnamdi Jr
Back
Top Bottom