Ukiwa umeajiriwa na kampuni binafsi ikaja ikatokea mmiliki wa kampuni halipi mishahara inafika mahali hata ofisi halipii jengo ilipo, landlord anafunga ofisi na mamlaka za serikali nazo zinaongezea makufuri yake (Jiji) .
Kisanii mmiliki anafanikisha kuhamisha mali za kampuni ingali kwamba...
Nimesikiliza hotuba ya JK kule Kagera ....akiwapiga mkwala wafanyakazi wa uhamiji na swala la wageni kuingia Tanzania na kuishi kwa vibali vya Local Goverment Officers....Akasema wasiwe waoga na kuacha ulegevu hivyo wafanye kazi zao kama inavyotakiwa la sivyo watafukuzwa wote wanaoshindwa...
Kama ndio hawa aliokuwa nao jana basi huu ni usanii kweli maana wenye mwelekeo wa uteja wapo wawili tu ....hao walienda kuiona ikulu walitaka kuingia enzi za Mwl Nyerere
Hapo ndipo uwezo wake wa kufikiria uliishia..
>>>maana hana wa kumnunulia simu...
>>>Pombe wanakunywa wao wakiwa kule Dodoma na kujaza bar na vilabu vyote .....
>>>Vocha anawekewa na ofisi ya bunge haitaji huduma ya NIWEZESHE
Msamehe bure hata kuwepo mwaka 2015 kishasema uzee nao tatizo ....
Alikuwa wapi siku zote au kishapewa listi sasa anataka kujifanya ndio anaanza kuwatafuta ....
SIASA chafu hizo aje atuambie na waliomtenda wakati ule kina nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.