Recent content by nkulikwa

  1. nkulikwa

    Upigaji kura umeanza Meru bila mawakala, hii imepangika kweli na watafanikiwa

    Kwanini wapiga Kura wote msiondoke wabaki wale wanaoamini ni haki kupora ushindi wa wabaki
  2. nkulikwa

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Ushindi wa kupora hauna maana Kabisa!! Chama kikubwa kama hiki kinataka ushindi wa kupora
  3. nkulikwa

    Uchaguzi mdogo Kata ya Nnacho - Ruangwa: Mnachofanya siyo sheria

    Huo siyo mkosi wa Chadema au upinzani ni hasara kwa Tanzania na wananchi! Kwamba watapewa wasichokitaka
  4. nkulikwa

    Rais Magufuli aifungua Hospitali ya Taaluma na Tiba - Muhimbili kampasi ya Mloganzila

    Kwa sababu ni kodi zao na watalipa kwa fedha zao sasa kimpya ni kipi hapo wasimuliaji?
  5. nkulikwa

    Nyumbani kwa Mr and Mrs Kafulila D.

    Ndivyo ulivyo sikia au ndivyo unavyowaza?
  6. nkulikwa

    CHADEMA jahazi lilopoteza muelekeo!

    Na wewe mwandishi una maono gani? Kwahiyo upande A au B ni nani alikuwa mpanga matukio??
  7. nkulikwa

    Hivi vyama vya upinzani vimelogwa na nani?

    Wanadhani wao wanapenda haki na Kweli hawako serious kabisa
  8. nkulikwa

    Kinana: Hakuna Waziri mwenye ubavu wa kukataa nikimtuma Jambo

    Maelezo hayo hapo juu nani anaweza kusema serikali ni ya watanzania wote na nani anaweza kusema Tanzania Hakuna ubaguzi! Mbona tuna ubaguzi wa hali ya juu sana tena ukabila wa vyama unatafuna Taifa!
  9. nkulikwa

    Masha: Msiogope kuwashughulikia wanaowachokoza, Polisi ni wetu na Magereza ni wetu

    Ambacho huwa kinauma moyo wangu ni kuona Huyu aliyetamka haya anaachwa huru lakini akitamka wa upinzani utasikia viongozi wa Polisi wakisema alipoti kituo cha Polisi kwa kosa la uchochezi! Huwa najiuliza uchochezi huu ukoje!!
  10. nkulikwa

    Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

    Hivi kupambana na ufisadi ikoje? Wale wa rushwa Kule arusha na vipi wale akina chenge na wenzake na wale wa sandarusi, kinachoonekana ni kwamba maumivu ya Lowasa kuondoka ccm na baadaye Sumaye na sasa Nyarandu imejenga Inda kwa viongozi tawala na sasa mioyoni mwao wanasema na sisi tunaweza...
Back
Top Bottom