Huwa nakaa na kujiuliza hivi inakuwaje vyama vya upinzani vinashindwa kwenda mahakamani kuishitaki na kuipinga tume ya uchaguzi kutumia wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wakuu ktk ngazi ya jimbo na kata?
Kwasababu hawa ni wateule wa raisi ambae nae ni mwenyekiti wa chama shindani, je kweli hapo haki inatarajiwa kutendeka ktk hali ya ushindani mkali?
Limebaki swala la kulalamika tu wakati hakuna hatua yoyote inayochukuliwa, hali hii mpaka lini?
Hii ndio inayonipa picha halisi ya kwanini baadhi ya wanachama wanaohama kutusema kuwainaonekana hatuko serious kukamata dola.
Na huo ndio ukweli na ni ndoto kukamata dola kama wasimamizi wengi wakuu ni wateule wa muda wote wa raisi na wanahangaika muda wote kutekeleza Sera za chama kilichopo madarakani.
AMKENI NA MPAMBANE LA TUOMBENI TUJE , TUKO TAYARI KUACHA KAZI SERIKALINI INGAWA HATA HUKU TUNAFANYA PART YETU