Upigaji kura umeanza Meru bila mawakala, hii imepangika kweli na watafanikiwa

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
336
677
Nimepiga kura yangu saa moja hii. Haya ni matukio yaliyotokea Meru kuhusiana na uchaguzi.

A. Mawakala wa vyama vypote hakuna. Huu ulikuwa mkakati kwa sababu walipewa barua za utambulisho bila kuapishwa. Aliyepaswa kuwaapisha alipotea juma zima. Jana wakaamua kuwakamata na kuwaweka ndani baadhi ya mawakala na viongozi wao ambao wamekuwa wakishughulikia kiapo hicho.

B. Waliowekwasero toka jana usiku ni;
1.Bw. Ndelilo katibu wa chadema kata Ambureni (maarufu kama chadema)
2.Loth Joseph- wakala
3. Juma Iddi- wakala
4. na mwingine amabaye jina lake halijapatikana, huyu alikamatwa maeneo ya kwa maretu na kuingizwa kwenye RAV 4. (Wengine walikamatwa na kuingizwa kwenye TDI
ya polisi)

Baada ya kukamatwa, makamanda waliwapigia simu mawakala wengine wajifiche (kama upo chooni baki hukohuko) hata hivyo hawa hawaruhusiwi maana hawana kiapo.(kumbuka hata wa CCM pia hamna - imefanywa kama janja fulani hivi)

C. Kitakachofanyika sasa ni maafisa wa tume wameachwa wacheze watakavyo na hapa ndio goli la mkono linapokuwa wazi kabisa.
 
Kama nikweli basi ni hatari kubwa. Vp ni ktk vituo vyote au ni kwa baadhi tu?
 
Acha visingizio. Unapigwa tu Hapo safari hii.
 
Hii mbinu itakua kaileta mnyeti
 
Hivi ujinga huu mpaka lini? Hapo wananchi wakichukua hasira mkononi na kuchoma wahusika hata wawili tuu mikuki au mishale mtamlaumu nani?
Kama hampendwi kwa nini kulazimisha kura za wengine ziwe zenu?
 
Tumechoka na hadithi, nilizani thread hii nitaoneshwa picha ya kichwa kilichotenganishwa na kiwiliwili.
 
Hivi ujinga huu mpaka lini? Hapo wananchi wakichukua hasira mkononi na kuchoma wahusika hata wawili tuu mikuki au mishale mtamlaumu nani?
Kama hampendwi kwa nini kulazimisha kura za wengine ziwe zenu?
Acheni ungese wa kulalamika lalamika hovyo. Tangu mmeanza kulalamika imewasaidia nini?
Yule jamaa alipojisifu kuwa ana hela za kutosha kugawa rushwa halafu jioni akalamba uteuzi hamkuelewa somo? Siasa ni pamija na kuchukua hatua, hiyo pipoz power yenu ipo wapi ambayo kila siku mnawaaminisha watu kuwa mnayo. Mtaendelea kumegwa hivyo hivyo kidogo kidogo hadi nguvu za kushika ukuta ziwaishie na hatimaye kudondoka na kufutika kabisa. Yaani kwa akili zenu mlitarajia maisha ya siasa ni mepesi hivyo? Yaani watu kirahisi rahisi tu waviheshimu vijialama vya kwenye karatasi za kura. Mlidhani wao ni mataahira watumie pesa nyingi kuwang'oa madiwani wa sehemu wasizokubarika halafu watarajie kushinda kwa kupitia sanduku la kura? Hamkuweza kabisa kutambua mkakati wa wenzenu kwamba si sanduku la kura tena? Kama hamuwezi kuchukua hatia nakushauri acha kulalamika na njoo ujiunge na CCM kama wenzako tu.
Kwa mwendo huu wa kulalamika lalamika kwenye vyombo vya habari come 2020, nakuhakikishia Upinzani hamtashinda hata kiti kimoja cha Udiwani wala ubunge.
 
Kwanini wapiga Kura wote msiondoke wabaki wale wanaoamini ni haki kupora ushindi wa wabaki
 
Back
Top Bottom