Recent content by nkongu ndasu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    Kwa kutenda haki huyu alipaswa kuungana na sabaya
  2. N

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

    Mwendo wa kupiga mpunga tuuu..
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maridhiano: Zanzibar wanapofanikiwa, Bara tunakwama Wapi?

    Umma ndo utaamua
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maridhiano: Zanzibar wanapofanikiwa, Bara tunakwama Wapi?

    Maridhiano ya kugawana vyeo Sio issues
  5. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

    Dah kazitoa mfuko gani? Kauza shamba au...dah Mara hii mmeshamsahau jpm?
  6. N

    JamiiForums Tanzania FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

    Mnavyosifia utadhani Samia hakuwa sehemu ya serikali iliyopita duh, kashaanza kupora pesa za watu kwenye akaunti zao...kupitia tozo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwana-CHADEMA anapohamia CCM ni lazima aombe uteuzi hadharani? Kwani UVCCM haiandai viongozi tena?

    Kinachotesa ccm na jumuiya zake Ni uchama Dola..
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Nipo tayari kurudi CCM kama mtanionesha waliomuua Alphonce Mawazo

    Siasa za kufuata watu Sio sawa kabisa, hivi chama kinabadilikaji kisa kaingia kiongozi mpya?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

    Stake asitake aongezewe muda..
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    Huo Ni unyang'anyi kabisa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Uwe spika wa bunge mstaafu, unakosaje hivo vihela? Mkuu acha utani
  12. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    Mungu awalinde na kuwabariki viongozi wote wa dini wanaotetea haki za watu.Imeandikwa haki huinua taifa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

    Kwa haya Ni heri tusingedai Uhuru, kwa nn tutese watu wetu? Kisa unatofautiana nao mawazo?
Back
Top Bottom