Recent content by Nkoma

  1. N

    Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza Nchi kuwa gizani kwa siku 7

    Kuunganisha bomba lina mahusiano gani na miundo mbinu iliyopo? Kinyerezi ni kituo kipya, ubungo kilikuwepo ni yapi mahusiano ya ufungaji wa bomba na kukata umeme uliopo? Hatudanganyiki!!!!!!
  2. N

    Hivi ndivyo ilivyokuwa uzinduzi wa kampeni za Esther Bulaya, jimbo la Bunda Mjini

    Watasema Mmesomba watu na Mabasi, malori nk. Watasema wote hao si wapiga kura ni Vibaka, wanywa Viroba. Niwajibu wa kila mmoja kujibu kwa Kupiga kura kwa UKAWA!!
  3. N

    Yupo wapi Alfred Lwakarate kamanda?

    Hakuwa Mlengwa wa Shughuli hizo ufanyiazo tathimini. Kwa nafasi yake sidhani ni lazima aonekane.
  4. N

    Jeshi la Polisi lamuweka wazi mfadhili wa matukio mbalimbali ya kigaidi Tanzania

    Hatudanganyiki tena Kova Mambo yote 25/08/2015
  5. N

    Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

    Kwa wachangiaji twaweza kuwataja hao wengi Waliosusa ndani ya CCM?
  6. N

    Kubenea, Kibanda, Professor J, Roma hii ni ndoto yangu tu

    Kwa ufahamu; Roma na Kibanda wanagombea majimbo yapi? Kubenea na Prof. J najua wanakogombea.
  7. N

    Mbunge wa Kahama kupitia CCM, James Lembeli ajiunga na CHADEMA rasmi

    Yote yawe mazuri ila kwa E Lowasa kuja CDM lisije tokea. Hatufai Kamwe akija CDM Chama kitasambaratika yaliosemwa na CUF ni mtego kwa CHADEMA ktk Mchakato wa Kutafuta Mgombea Urais.
  8. N

    TANZIA John Nyerere afariki dunia

    Pole kwa Mama Maria na Familia yake.
  9. N

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Hapa ni Sawa kabisa. Aa! Namaanisha wao Green Guard ni sawa na Mungu anataka.
  10. N

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Walianza na Chama cha Wachaga, Chama cha Kigaidi, Chama cha Kidini, wabaguzi nakazalika sasa wana jeshi na zana Kijeshi!!! Maajabu! Kwa hali hiyo basi kila raia wa Tanganyika ni Askari na kila nyumba ina Vifaa vya Kijeshi. Kumbe miaka ile nikiwa namiliki manati yangu na kokoto zake nilikuwa...
  11. N

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Mtwara Ukiongozwa na Tundu Lissu

    Dangle Kama wa ni Mzalendo wa Kweli Kazi ni yetu sote na si yao Viongozi hata wewe na mimi pia.
  12. N

    Picha na Maelezo: Mkutano wa Chadema Kyerwa - Freeeman Mbowe

    Mungu awatagulie ktk kila hatua, kila jambo. Saa ya Ukombozi ni sasa!!!!!
  13. N

    Mbowe ndani ya Bukoba Mjini, kutoa mafunzo ya Uzalendo kwa Vijana

    Nyakati za ukombozi ni huu, kila mmoja awajibike kwa nafasi yake.
  14. N

    Vijana NCCR-Mageuzi: Hatuwataki Dr. Slaa na Lipumba urais UKAWA

    Kwani kutangaza mali kwa ZZK ndiyo kuwa Mkamilifu? Alizozitangza ndiyo ukweli wake au Kiini macho Kama wafanyavyo wengine? Wenye hati miliki na Nchi hii ni Wananchi si CCM wala CDM. Tufunguke tusiwaze kwasababu ya Zito, Kikwete, Lowasa,au Slaa. Tuwaze ktk misingi ya Utaifa ambao tulikuwa...
  15. N

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Mkuu unalo leo! Kimsingi Kwa tunaoijua Simanjiro, niyapi hayo maendeleo yametokana na kuwepo kwa Mkombozi Huyo? Ila naomba utujibu katika maeneo yafuatayo tu; 1. Maendeleo ya Mifugo 2. Maendeleo ya Kilimo 3. Maendeleo ya Elimu na Afya 4. Raslimali; Madini, ardhi na Mbuga za wanyama. Tunakusubiri!!!
Back
Top Bottom