Recent content by Nkolomboka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimekufa nimeoza kwa kijana humu JF

    Eeh!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

    Huna uwezo wa kuniajiri wewe! hata ukoo wako mzima muungane ni ndoto za saa tisa alasiri. Hayo unaona ni miujiza kwa sababu akili yako ni finyu huna uwezo wa kupambanua mambo kijana. Angalia kodi tunayoipa hiyo serikali yako kwa uchache tu ninapotuma hata V8 moja tu achilia mbali railway levy...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

    Kwa aliye ndani haoni jinsi Bongo inavyoonekana kwa nje na anaweza kukulaumu kwa nini umeandika hivyo!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

    Umevamia majibu yasiyo yako halafu unakaza makalio kunijibu! Niliyemjibu namjua vizuri usikurupuke dogo utapata tabu sana kuelewa tofauti ya mavi na kinyesi. Kasome majibu yangu kwa mlengwa utajua kwa nini, na kwa taarifa yako wewe mwenyewe ingawa sikujui na hutanijua kwa kuangalia lugha...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

    Wewe sio independent wala indoorpendent! Ndio maana nilisema nakujua vizuri sibahatishi! Unakumbuka kile kitambaa cha guo lako la kijani ulikipataje? kumbuka tu process nzima mpaka kwenye malipo!! Unaishi maisha ya kuunga unga kuanzia sebuleni mpaka chumbani wewe wala siyo siri. Halafu punda...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima kawatibua, wafanyabiashara kawatibua, wafanyakazi kawatibua...sasa mwenzetu huyu kura zake hutoka wapi?

    Duh! mkuu nakuvulia kofia! kwa mwenye akili za kukopa ni ngumu kuelewa ulichoandika. Hii ni sawa na mtu kajikuta ana maumivu na damu gizani hajui kapigwaje,akiwa wapi na saa ngapi!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

    Hivi nyie washereheshaji wa ccm huwa kama mmerogwa! wewe nina uhakika wa 100% hata hapo Dodoma nauli ya kwenda kuimba mapambio huwa unapewa kama mwanafunzi wa shule ya msingi. Dogo angalia picha kubwa usizooe passport size ndio maana mtoto wako anasoma shule la hovyo pale unategemea hapo kuna...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

    Mgonjwa wa akili wewe na ndio maana ni maskini mpaka leo! Akili zako nadhani ziko kwenye kichwa kile kingine kidogo...shenzi type! Mwanaume rijali umekaa na korodani zako unaleta uzi wa kishoga eti ccm ili iweje? Malofa wa akili utawajua tu!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usitekwe achana na yasiyokuhusu

    Na wewe umeamua kujitoa akili kama (dege la machinjioni) ndege JOHN au? Mwenzio tumemshughulikia kakimbia na wewe nyoosha kidole tu jifanye kama unajikuna utaelewa tu! Watu wanaharibu amani ya nchi nyie mnaleta mizaha kama wanawake wauza miili mabarabarani!! Ebo!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usitekwe achana na yasiyokuhusu

    Mjinga akili zako ni za kitoto sana! wewe bado mfanyakazi/mwajiriwa usiye na matumaini hata ya kumiliki meza ya kuuza nyanya sokoni kihalali siku shoga zako wakikufukuza hata kwenye hiyo kazi inayokufanya ujambe hovyo! Halafu Inawezekana kabisa hata sheria na kanuni unazowapangia mkeo na watoto...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna Heshima kubwa kwa Mwanaume kama Mwanamke kuutambua UUME wako Kabla hata Hamjakutana Kimwili.

    Duh! Si kawaida yangu kusoma uzi mzima lakini huu umenigusa haswa! Ilishanitokea maishani ila mwisho wa wema wangu ilibidi nizikimbie shukrani maana zilizidi hadi ikafika wakti najaribu kufafanua wema wangu kuwa haukuwa kutoka kwangu bali Mwenyezi Mungu tu ndiye alinitumia kama bridge...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanahangaika sana

    erence Uzuri wa mwanmke si sura kumbuka hilo! Muwe mnauliza wazee wenu waliwapendea nini wenza wao sio mkurupuko tu. Inaonekana umeshindwa kupambana na hali yako sasa humu usaidiwe vipi? Tumtafute tumuue au? Halafu maisha sio mashindano sura ziko nyingi lakini nyuma ya hizo sura kuna uchafu...
Back
Top Bottom