Recent content by Nkokashu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi 122 za kazi bwerere kutoka TANAPA

    Hahaha hawa jamaa kiboko
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uzoefu na Utaalam wangu katika Utafiti na Sera, Naombeni Kazi

    Nina Shahada ya Uzamili katika maswala ya Utafiti na Sera...ni mtaalamu katika Social Science Research Nina utaalamu zaidi ya miaka miwili katika tafiti, mainly nimebase katika; Data Collections Skills, Data Entry, Data Management and Data Analysis. Research/Project Proposals Writing Skills...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri wa haraka hapa

    Sifa zingine
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndio gari mpya aliyonunua Masanja Mkandamizaji

    Fanyeni kazi acheni majungu!masanja mkandamizaji ni mpambanaji na anaishi tanzania hii hii mnayo sema hailindi haki za wasaniii!hongera kaka! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

    Kumbe una sifu chuo chako!unaona sasa akili ya wanafunzi wa chuo chako ambacho zao lake ni wewe?kwa hiyo hao ndio walimu waliotoka chuo chako ambao watajenga hoja kama wewe!hongera! Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaimarika na inasonga mbele

    Uko sahihi mh!ni kwa nini waijadili chamema kila mara wasijadili cuf au nccr mageuzi?hicho ndicho chama shindani ndani ya tanzania!itafahamika.songa mbele Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  7. N

    JamiiForums Tanzania CCM Arumeru kimenuka

    Go to hell ccm! Chama cha mashamba. Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya waziri Hawa Ghasia juu ya mkoa wa Kilimanjaro ni ya ubaguzi

    Tena awe na nidhamu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa CHADEMA amepoteza Maisha kwenye Mlipuko wa Bomu Arusha

    Basi tena kwani hata mpiganaji akishindwa hutumia mawe,visu,nk.chadema mgumi tuu mpaka kieleweke mabumu hayamtishi mtu.niko njia panda.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Anatafuta mume wa kumuowa huyu bibie jamani wanaume mupoooo

    Mleteni hapa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Ccm chama cha majasusi hatishiki mtu na mabomu.wananchi wanazidi kuzoea hali halisi.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema Kaloleni

    Powerrrrrr
Back
Top Bottom