Recent content by Nkoka

  1. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hujakatazwa kukubali unatakiwa uongee uhalisia sio ushabiki
  2. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Uwezo wako wa kifikra ni mdogo sana ndomana unakubali kubuzwa
  3. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Huo ndo ukwel watu kujifanya hawaoni kinachoendelea Kila kukicha MAMA yupo kazini kazi gani hiyo wakat raia tunapitia mateso makali huku mtaani
  4. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Uber driver natafuta gari

    Ww ni dereva
  5. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Uber driver natafuta gari

    Sijakuelewa
  6. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Bolt Driver

    Fafanua ndugu
  7. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Uber driver natafuta gari

    Mm npo dar mkuu
  8. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Anahitajika dereva wa mkataba jijini Arusha

    Boss yupo mbali itakua ngumu kukubali kutoa gari
  9. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Uber driver natafuta gari

    Samahani kiongozi, Pia pole kama umewahi kufanyiwa kitu kibaya kutoka kwa madereva, Nafkiri binadamu hatupo sawa kwaio lazma tutofautiane kitabia , Unaposema madereva ni wezi unatuhukumu na sisi wengine ambao hatumo katka kundi hilo , Samahani kama nimekosea mkuu
  10. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Udangaji kwa wanachuo umezidi

    Huyu ni mtu au?
  11. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

    Nimeona povu tu hapo sijaona hoja
  12. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Uswizi yatangaza kuzuia zaidi ya Tsh. Trilioni 350 za Warusi

    Nyie shabikieni tu kama haya yanayoendelea ni mazuri
  13. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Uber driver natafuta gari

    Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya Uber/bolt Gari ndogo. Hesabu au mkataba vyote sawa Kwa yeyote Alie nayo Napatikana Temeke Mawasiliano: 0717285828
Back
Top Bottom