Kwan hao bakwata ni nani haswa c hao waislamu wenzenu kama wanawasaliti inaonyesha mna shida,ni shida kulaumu wakristo huku ukijua hawausiki na issue zenu
Ww una shida kubwa na kama kweli unaongea na wafu,ujue una mapepo na yamekufunga unadhani unaongea na marehemu kumbe ni mapepo,pia ni vzr ukafika hospital hasa ya mirembe huko Dodoma ili waangalie kichwa chako naona kama una ugonjwa wa niambili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.