Recent content by nkobhe255

  1. N

    JamiiForums Tanzania China’s petro-yuan ‘thundering into action’ as Iran ditches US dollar in oil trade

    Badala ya kupromote pesa zao wanaiacha Dola ya USA na kukimbilia YUAN ya China, very sad. Kwahiyo na mchina akianza kukorofishana naye wataiacha Yuan na kukimbilia wapi?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

    Acheni kuharibu thread za watu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya kampuni za boeing na airbus baada ya vikwazo vya marekani dhidi ya Iran

    Wanashindana vipi sasa, labda fafanua
  4. N

    JamiiForums Tanzania Watu 9 waumeuwa nchini Indonesia baada ya makanisa kushambuliwa kwa mabomu

    Very Sad, mji wenyewe unaitwa Surambaya, duu wakristo tokeni huko, njooni hata hapa kwa Mtongore
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya kampuni za boeing na airbus baada ya vikwazo vya marekani dhidi ya Iran

    Kwahiyo mkuu, unadhani Ulaya wanashindwa kuwa na jeshi imara mpaka wategemee jeshi la Marekani kumkabili Urusi? Binafsi naona ni kutokana na mikataba iliyowekwa baada ya WWII. Na kama Marekani ataendelea kunvunja mikataba yake dhidi ya Ulaya, basi tutalajie Ulaya iliyoungana kijeshi na kiuchumi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya kampuni za boeing na airbus baada ya vikwazo vya marekani dhidi ya Iran

    Fafanua mkuu, make hii hali siyo nzuri kwa ustawi wa uchumi wa Dunia
  7. N

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Korea

    Correction: waliobadiri saa ni Korea Kaskazini na sio Korea Kusini. Karibu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya kampuni za boeing na airbus baada ya vikwazo vya marekani dhidi ya Iran

    Mkuuu, hapa kuna wasiwasi mkubwa juu ya mgogooro wa kibiadhara utakao tokea kati ya Marekani na Ulaya, Ufaransa, Uingereza na Ujerumani zimeapa kuungana ili kupinga mipango ya kuiwekea Iran vikwazo, hii huenda itaambatana na kuyapa kinga makampuni ya Ulaya yanayofanya biashara na Iran ili...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya kampuni za boeing na airbus baada ya vikwazo vya marekani dhidi ya Iran

    Fafanua mkuu, huenda na mimi nikajua zaidi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya kampuni za boeing na airbus baada ya vikwazo vya marekani dhidi ya Iran

    Hapa ndo nashindwa kuwaelewa Ulaya, kumbe hata Marekani atapoteza $20bilion,huku Ulaya wakilialia na $19bilion.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya kampuni za boeing na airbus baada ya vikwazo vya marekani dhidi ya Iran

    Kampuni kubwa na utengenezaji wa ndege za Boeing na Airbus ziko mbioni kupata hasara kubwa endapo vikwazo vipya dhidi ya Iran vitatangazwa wiki chache zijazo. Waziri wa barabara, miundombinu na viwanja vya ndege wa Iran amezitaka kampuni hizo kutoa majibu juu ya hatima ya kuiuzia ndege nchi hiyo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Marekani Yatangaza Vikwazo dhidi ya Iran

    Bunker burst=Bunker Buster
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Kenya aliyezua taharuki nchini

    Habari zenu wana JF, nadhani kwa jinsi vyuma vilivyokaza basi ni kwa neema ya mungu mambo yatakuwa mazuri tu Niende moja kwa moja kwenye maada bila kuwachosha. Kuna huyu mchezaji wa kenya aliyekuwa akifahamika kama OTIENO MBOO, huyu jama miaka ya 80 alikuwa akicheza katika timu ya taisha ya...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

    Kiranga japo hata yeye hana majibu kuhusu asili ya Binadamu ila maswali na majibu yake yako wazi. Mfano, wewe unamlazimisha atoe jibu unalolitrgemea, swali ulilomuuliza kiranga linaishia na NANI? ukitaka amtaje MUNGU, kwanini lisiishie KIPI? NINI? etc.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

    Bro, samahani kiodgo, wewe unachanganya, Freewill ni uwezo wa kufanya chochote, kiwe kibaya au kizuri bila kuzuiliwa wala kuhojiwa na mtu yeyote yule, so ukishaweka tu kwamba tufanye mazuri tu yoypte tunayo yataka, basi that is not a freewill but a controlledwill or guidedwill. MYTAKE, Nothing...
Back
Top Bottom