Recent content by nkiniangelikal

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu suala la madereva wa malori na mabasi kuchukua vyeti LATRA

    Mimi ni dereva wa malori kwa maana ya truck nimemsikia bonge wa clouds Fm asubuhi japo sikuweza kusikia yote. Nilishika machache kuwa LATRA wanataka madereva wote wa malori na mabasi Wakachukue vyeti Vitakavyo watambulisha katika nchi watakazokuwa wanaenda Kama sikukosea. Tafadhali wadau kama...
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Labda ataifanya chato Kama dar es salaam
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni

    Tundu lisu atashinda tu urais Kwanza kabisa sera zake kubwa kurudisha wafanyakazi kazini wote waliofukuzwa kazi kwa kisingizio Cha vyeti fake tofauti kabisa kwa mujibu was Sheria yetu ya nchi wafanyakazi wale walilazimika kutumia vyet hivyo kutokana na sera mbovu za ccm katiba ya nchi inasema...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, awashushua TAKUKURU na Watendaji wote wanajipendekeza kwake na kupeleka miradi ya Maendeleo Chato

    Magufuli si wa mchezo mchezo utampelekaje Rais kufungua kajengo Kama kale tena Rais mwenyewe Kama magufuli lazima akutoenishai hii ni dharau kwa mkuu nchi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Kwani kunywa pombe chakonichako na kulikata uno ka demu kipi bora?
  6. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESO DODOMA KISASA Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO Dodoma huu ni uzembe au uhuni? Tatueni tatizo la umeme eneo kisasa mtaa wa palanjo, mtaa huu umekua kero kubwa kwenye swala la umeme umekua ukikatika Kila wiki mala mbili na ukikatika swala la kurudishiwa ni ndani ya masaa matano mpaka nane. Hamtoi taalifa yeyeto wananchi hawaelewi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wakati serikali yapiga marufuku sekta binafsi kupunguza wafanyakazi kipindi hiki Cha janga la Corona Kuna taasisi moja ya kidini imepuuza agizo hilo

    Wakati serikali imepiga marufuku sekta zote binafsi kupunguza wafanyakazi wake kipindi hiki Cha janga la Corona Kuna ofisi moja ya kidini pale Buguruni Malapa CCT- WAMA imepunguza wafanyakazi wake wapatao sita kwa kisingizio Hali ya kibiashara katika ofisi hiyo imekuwa mbaya kutokana na janga...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi kubwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani

    Napenda kumpongeza Waziri Simbachawene kwa kuwazuia jeshi la polisi na utaratibu wao mbovu wa kuwaweka ndani wananchi hata yule asiyekuwa na kosa. Kwa mfano haswa kwa madereva wa magari ndio wamekuwa wahanga wakubwa kwa kuwekwa ndani au mahabusu hasa pale unapopata ajali hata kama huyo dereva...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Polisi mnakwama wapi!?

    Polisi ni shida nchi hii Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

    Tupo pamoja na membe Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Utawala huu ni wa ajabu Sana haijawai kutokea Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Woga mbaya Sana wanamfukuza member kwa woga waliokuwanao Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom