Mwenye ufahamu kuhusu suala la madereva wa malori na mabasi kuchukua vyeti LATRA

Feb 28, 2020
12
4
Mimi ni dereva wa malori kwa maana ya truck nimemsikia bonge wa clouds Fm asubuhi japo sikuweza kusikia yote.

Nilishika machache kuwa LATRA wanataka madereva wote wa malori na mabasi Wakachukue vyeti Vitakavyo watambulisha katika nchi watakazokuwa wanaenda Kama sikukosea.

Tafadhali wadau kama kuna yeyete aliesikia au mwenye kufahamu juu ya hilo atujize.
 
Hawa jamaa wanajaribu kujipa kazi ambazo haziingii akilini.

Sheria ilipelekwa bungeni mwaka jana na wabunge wakakubali. MADEREVA WA MALORI WANATAKIWA WATAMBULIWE NA LATRA.

USINIULIZE KWA NINI ILIPISHWA WAKATI TRA, NA TRAFIK TAYARI WALUSHAWATAMBUA MADERECA HAO.

INAONEKANA VADO WANAENDELEA KUBUNI KAZI ILI MAMLAKA HII IENDELEE KUWEPO
 
Back
Top Bottom