Pongezi kubwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani

Feb 28, 2020
12
4
Napenda kumpongeza Waziri Simbachawene kwa kuwazuia jeshi la polisi na utaratibu wao mbovu wa kuwaweka ndani wananchi hata yule asiyekuwa na kosa.

Kwa mfano haswa kwa madereva wa magari ndio wamekuwa wahanga wakubwa kwa kuwekwa ndani au mahabusu hasa pale unapopata ajali hata kama huyo dereva hiyo ajali hakuisababisha yeye utaambiwa mwekeni ndani ukiuliza kwanini watakuambia unawekwa ndani kwa usalama wako.

Ukishawekwa ndani hadi siku tatu mpaka utoe rushwa ndio wakuachie ukishatoka watakuambia wewe huna kosa nenda zako mwenye kosa ni marehemu naomba Mh Waziri uliangalie na hili.
 
Sasa wameskia?mbona tayar wamemkata juz sijui Jana KUB?
Napenda kumpongeza waziri Simbachawene kwa kuwazuia jeshi la polisi na utaratibu wao mbovu was kuwaweka ndani wananchi hata yule asiyekuwa na kosa kwamfano haswa kwa madereva was magari ndio wamekuwa wahanga wakubwa kwa kuwekwandani au mahabusu hasa pale unapopata ajali hata kama huyo dereva hiyo ajali akuisababisha yeye utaambiwa mwekeni ndani ikiuliza kwanini watakuambia unawekwa ndani kwa usalama wako ukishawekwa ndani Hadi siku tatu mpaka utoe rushwa ndio wakuachie ukishatoka watakuambia wewe huna kosa nenda zako mwenyekosa ni marehemu naomba mh: waziri uliangalie na hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom