Recent content by Nkamu

  1. Nkamu

    GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Kama ni kuku au mbuzi, nakuunga mkono kwani baada ya kumnyonga tunakula nyama!
  2. Nkamu

    TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Ongea mkuu, acha kuguna na kwenda zako!
  3. Nkamu

    TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Inawezekana, maana inakuwa kama uzembe wa kibiashara
  4. Nkamu

    TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa siku mbili mbele. Hivyo kama una safari ya ghafla kwenda au kutoka Dodoma huwezi kutumia treni...
  5. Nkamu

    HOJA: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya

    Iko vizuri hiyo hoja, haina maana kuwa na kiongozi wa kuteuliwa.
  6. Nkamu

    Wazungu tunaogombania nao dalalada wamemkosea nini mwenyezi Mungu?

    Hata Ulaya kuna masikini kama sisi! Sio wote wana pesa ya kukodi gari ya kuzunguka mjini. Tofauti yetu na wao ni kwamba wanaweza kujiwekea mipango ya kufanya jambo fulani. Wanadunduliza kujiwekea akiba mpaka apate pesa ya kufanya jambo lake; kama vile kuja kutembea Africa. Akija anakuwa na...
  7. Nkamu

    Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

    Nimesikia redioni kwamba Denmark inafunga Ubalozi wake wa Dar es Salaam, lakini hawajatoa maelezo ya kina kuhusu sababu za Kufunga ubalozi huo. Kuna yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu ufungaji huo wa ubalozi? Maana nimeanza kufikiria jinsi Denmark ilivyo mshirika mkubwa wa maendeleo kwa...
  8. Nkamu

    Kurusha Jini Kumerudi?

    Wanajamii mbona kimya? Au hili tatizo haliwahusu?
  9. Nkamu

    Kurusha Jini Kumerudi?

    Salama wakuu? Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mbeya kwenda Dar kwa gari ndogo. Tulipofika Mbuyuni wilaya ya Rujewa, tulisimamishwa na askari wa usalama barabarani. Baada ya kusimama askari akaomba leseni ya dereva. Baada ya kuchukua leseni dereva akaambiwa anaadhibiwa kwa kuendesha gari kwa spidi...
  10. Nkamu

    Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

    Hivi majuzi nimeumia sana; nilikuwa na bando ya wiki kutoka tigo 10GB na mtandao ulikuwa mbovu karibu wiki nzima. nikawa nimebakiwa na 7GB mara nikapata ujumbe kwamba kifurushi changu kimekwisha muda wake. Nilitamani nimtafune mdudu tigo kwa hasira!
  11. Nkamu

    Smart watch zinauzwa

    Unaparikana wapi ndugu? Nahitaji saa moja
Back
Top Bottom