Recent content by nkadoba

  1. nkadoba

    JamiiForums Kupotea kwa Fedha mfukoni!

    Tunaopata redha halali bado zipo mifukoni.
  2. nkadoba

    JamiiForums Nimeibiwa milioni 5 nilizokuwa naficha ndani, naishi na mke wangu kwenye nyumba ya familia

    Huo ni uzembe wako kama huna account ya benki hata kwenye mitandao ya simu huwezi kuweka ?
  3. nkadoba

    JamiiForums Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    Msema kweli no mpenzi wa mungu hakika hii ni fedheha kubwa , hata kama mungu wetu ni wa furaha lakini kwa viwango vinavyostahili sio kucheza miziki ya ufuska.
  4. nkadoba

    JamiiForums Kwanini ukila nanasi ukinywa maji mdomo unakuwa mchungu?

    Ni kweli lakini hill swali ni la kisayansi zaidi, labda ni kwasababu namasi lina acidy na madini ya kwenye maji yanatofautiana.
  5. nkadoba

    JamiiForums Jamaa aenda kununua gari la kifahari na fedha za sarafu, watumia masaa 12 kuhesabu

    Luna watu waamua kufanya vitu tofauti na wengine ili ajipatie umaarufu.
  6. nkadoba

    JamiiForums Jamaa aenda kununua gari la kifahari na fedha za sarafu, watumia masaa 12 kuhesabu

    Kuna watu wanaamua tu kufanya vitu tofauti ili apate umaarufu.
  7. nkadoba

    JamiiForums AKILIYANGU NAIJUA MWENYEWE

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. nkadoba

    JamiiForums Dunia ya saizi hakuna mbabe

    Wametwanga chang'aa hao.
  9. nkadoba

    JamiiForums AKILIYANGU NAIJUA MWENYEWE

    Je ungeota umenunua ndege si ungejiua?
Back
Top Bottom