HansMaja
Senior Member
- Nov 9, 2010
- 103
- 117
Pamekuwa na malalamiko mengi kwamba fedha imepotea mifukoni kwenye kipindi hiki cha uongozi wa Rais Magufuli. Sasa tujadili ni kwa vipi wewe BINAFSI umeathirika kutokana na uongozi wa Rais Magufuli? Mh. Rais anasema analipa mshahara kama kawaida na kwa wakati!