Recent content by Nkabo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuvuliwa uongozi kwa Zitto: CHADEMA Mmejipangaje kuepuka propaganda za UDINI na Ukanda dhidi yenu?

    Ivi mbona hata raisi na makamu wake ni dini moja hamsemi? Na pia viongozi wengine wazito hasa wa nafasi za kuteuliwa mbona hamuwaoni? Nchi hii kama kungekuwa na udini basi wakristo ndo walitaokiwa kulalamika na sio other side. Sema wao ni wastaarabu na wanaamini uongozi ni utendaji na uwezo wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

    Hadi zama izi watu hamuelikiki? Yeye ZZK ni mchaga?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Habari Kutoka Ndani ya TRA: Madudu ya Mashine za TRA haya Hapa!

    Hawa wafanyabiashara wamezowea kukwepa kodi ndo maana wanaotesha majengo kkoo kama uyogabkila siku. Hao wanaogomea machine za kayi ya sh lk 6 hadi lk780 ambazo ni refundable wanawezaje kulipa pango la zaidi ya 1M kwa mwezi kama sio wanataka kuendelea kuhide income yao ili wasilipe kodi? Lipeni...
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamjibu Nape; Muendelezo wa majibu mepesi kwa maswali magumu

    Kama na huyu WJMalecela amewai kusoma huko kwenye elimu bora bado akabaki kuwa bogas namna hii basi tena sngesoms shule za kata ingekuwa majangaaaaaa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamjibu Nape; Muendelezo wa majibu mepesi kwa maswali magumu

    Kwani uchaguzi mnaotaka nyie ni jina uchaguzi kama wa magamba au ni nini? Mfano kwa uchaguzi wenu wa mwenyekiti si danganyayoto kama mnacheza makida bora hata CDM ambao hawajaincur codt kuiyidhs huo uchshuzi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamjibu Nape; Muendelezo wa majibu mepesi kwa maswali magumu

    Kubwa jinga umeibukia na humu? Wewe kaongeze nguvu kumtetea Kapuya wakati mwenyewe hajitetei anakiri na kutoa vitisho. Wewe unaomba msamaha ili usikose buku 7.
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamjibu Nape; Muendelezo wa majibu mepesi kwa maswali magumu

    Kwani hawa magamba hujawaelewa tu? Ni kweli wameshikwa pabaya ndo maana wanatafuta kila njia ya kuidhoofisha chadema. Hapa wanang'ang'ania uchaguzi ili eapate kuwapenyeza mamluki kams kawaida yao. Fanyeni yenu yakiwashinda kakojoeni mlale.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nape apendekeza Msajili wa vyama kufuta CHADEMA

    Acha unafiki. Nyie mnaoleta mambo ya ukanda ndo vibaraka wa NEPI aka buku 7 mnatafuta tu namna ya kumvutuga mbabe wenu CDM. Hatuchagui hao mamluki wenu. Pyuuuuuuuu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Kumbe napoteza mda wangu naongea na kubwajingaaaaaaaa. Let me reserve my energy.
  10. N

    JamiiForums Tanzania My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Acha siasa wewe. Kuwa na mtt sio issue. Hata miaka 12 wanawezakuwa na watt. So kuwa na mtt ni justification ya kumbaka? Ivi wewe yale maelezo ya huyo aliyekutuma hapa kuja kumsafisha yanakuingia akilini mtu kugawa namba yake ya simu aliyowai kuitukia ikiwa active itumiwe na mtu mwingine? Na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Kaka na mimi naomba izo personal contact za huyo interior designer namuitaji.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Hii gorofa ni kwa sh ngapi ujenzi kaka. Na ni vyumba vingapi? Ungeweka zile sqm labda tutumie formuls ya manyusi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi zangu kwako dr. Slaa,viongozi wengine muige

    Kikwete ukimkosoa hana hila na wewe anachukulia kama uhuru wa maoni. Nani kasema ivo. Ushaanza unaazi. ---- mtu hapendi kukosolewa na mwenye visasi kama huyo raisi wako. Sanasana atakuchekes akijidai uhuru wa maoni ila utaipata fresh kimya kimya.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jamani wapendwa mbona kuwa na mpenzi mmoja dunia ya leo HAIWEZEKANI..

    Wewe mzinzi tu huna lolote. Unashindwa kudumisha mapenzi ndani kwako unaenda kwa dakadaka unaona ndo soln. Wanawaibia hao. Hata yeye hiyo dear haitoki rohoni iko mdomoni rohoni anakuona panya sijui maana bora hata mkeo umesema kakuona kenge. Na jaribu kureason, huo mpango wa kando dear itatoka...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jamani wapendwa mbona kuwa na mpenzi mmoja dunia ya leo HAIWEZEKANI..

    Acheni ujinga. Kuna wazinzi kama hao waliopewa nafasi ya wske 4? Tena hao ndo worse. Ni ushenzi tu wa mtu. Nyama ileile mabucha tofauti.
Back
Top Bottom