Recent content by njumu za kosovo

  1. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    🙄🙄🙄
  2. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walikosea kukubali kuichoma nchi wanayotaka kuiongoza

    Ila anasikilizwa, anapendwa ,na anasema ukweli kabisa. Wananchi tunaona ana haiba kubwa na utu wa kweli leo namtumia tena jioni elfu kumi
  3. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

    Tulishaelezwa tangu jana atasema leo hakuna mpya hapo
  4. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walikosea kukubali kuichoma nchi wanayotaka kuiongoza

    Mkuu ndo nimemaliza kutuma elfu kumi hapa Heche apate hata ya soda kidogo, haya tueleze vizuri
  5. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Putin anapata tabu sana kwa mashambulizi ya Ukraine nchini mwake!!

    Huyo Putin nilikua namkubali sanaaa ila juzi juzi hapa aliniudhi vibaya mnooo apigwe mpaka kipara kile kiwake cheche pumbav zake, NB, msiniulize kwanini
  6. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Marekani yadaiwa kupanga njama za kumteka Rais wa Venezuela

    Kumbe "who are you" wakikutaka watakupata ni suala la muda tu hata babu udevu pale Uajemi ni suala la muda pia hutaki acha
  7. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Picha zikionesha mamia ya mifuko ya watu waliouliwa na Serikali ya Iran inayoongzwa na Ayatollah

    Kama Nchi ina mamluki idadi kubwa hivyo ,unafikiri kuna ustawi wa hiyo nchi mbeleni? Hao sio Mossad wala mamluki hao ni wananchi wa kawaida tu wenye yao
  8. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Burkina Faso, Yolande Viviane Compaoré, auawa

    Naaam naaam hakika wewe umesema
  9. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

    Umenichekesha mpaka nimemwaga supu yani au atakua ni mkurugenzi wa CIA huyu huwezi jua ati🤣
  10. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Picha zikionesha mamia ya mifuko ya watu waliouliwa na Serikali ya Iran inayoongzwa na Ayatollah

    Hapana hiyo sio AI ni picha halisi na kingine hao ni Wananchi wa kawaida kabisa huo u "mossad na Ucia" ni ile mbinu ya ukitaka kumuua nyani, Kama kweli idadi yote hiyo ni mawakala wa CIA na Mossad basi muda wowote hiyo Nchi inaanguka kabisa kabisa
  11. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Trump adai Mauaji Iran Yamesitishwa, lakini kama hali bado ni tete nchi humo

    Huyu udevu kunoga akianza kubutuliwa utasikia tu "Marikani mwonevu thana" mamaqe nyie wale watu wachukulieni poa tu hivyo hivyo alafu mje mshangazwe
  12. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Iran yasimamisha mauaji ya waandamanaji walihukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa hofu ya kushambuliwa na Marekani

    Pamoja na yoote ila America kuna watu wanaiona kama Burundi ila wale jamaa hawafai hata kidogo ruka ruka weeee wakikukalia mezani asali utaiona kama mkojo
  13. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    Nilitaka niseme hili bahati nzuri nasoma comments nakuta tayari umeshaiweka kiukwelii huu ni mpango maalum ila kwa viongozi wetu hawa na watu wa idara najua watapuuzia na kuona kama aaah yatapita tuu lakini hizi video zinazozodi kutoka zina maana yake kubwa tu
  14. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Misaada namna ya kupata app ya loan online

    Makoti soma tena anamaanisha yani yeye ndo awe mmiliki wa app mimi nitamsaidia kupata wadada wenye matusi na viburi kama customer care hapo
Back
Top Bottom