Recent content by Njuka II

  1. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Leteni hizo changamoto, ulizieni na kwa majirani kama wanazo changamoto wawapatieni mzilete
  2. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Hiyo unatumia conditional formatting, unaweza ukatengeneza table yenye columns ndogo ndogo then ukazipa values (dates) na kuziwekea conditional formatting. Utakapojaza tarehe husika, raw inajifill color yenyewe kulingana na idadi ya siku. Ukihitaji kutengenezewa nicheck, leo leo kazi inaisha
  3. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Hamna sijakimbia mkuu, Excel ndio huwa inanikimbia mimi[emoji846]
  4. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Faida kwenye biashara ya sembe na dona inapatikanaje?

    Mashine nyingi wanakuwaga na mahindi hapo hapo, kwahiyo wateja wengine wananunua mahindi hapo hapo machineni na wengine wanakuwa na mahindi yao wenyewe. Hiyo ya kuuza mahindi machineni ni biashara ya kwanza, biashara ya pili ni huduma ya kusaga/kukoboa na biashara ya tatu ni kuuza pumba...
  5. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Wenye changamoto za Ms Excel mmeisha?
  6. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Aisee! mbona hiyo ni shule tena, wewe shukuru Mungu kwanza case yàko imekuwa solved japo mtaalam hata soda hajapata
  7. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Mfano ukiandika if(A1>21, "F", if(A1>41,"D")), ukiandika 50 ktk A1, out itaandika F na sio D kwa sababu statements zote zitatoa jibu la TRUE (50 ni kubwa kuliko 21 na pia ni kubwa kuliko 41)
  8. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Vyovyote tu utakavyoweka, màana formula huwa inazunguka pote kutafuta sehemu ya kudondokea na kama kùna chaguo zaidi ya moja basi formula itadondokea katika chaguo la karibu zaidi na alama ya =. Kama itatokea formula imekosa pa kudondokea itaandika FALSE mfano ukiandika amount ambayo haijawa...
  9. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Kuna mahali tu lazima iwe umekosea, formula ikiwa sawa haiwezi kuleta error
  10. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Asilimia 3 ya laki 2 ni 6,000/= 4.2M inadondokea kwenye range ya 4M to 7M, ambayo rate yake ni 3% ya kinachozidi kwenye 4M
  11. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    hii hapa
  12. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Ndio, formula inafanya kazi bila shida. Attachment yako nikiizoom maandishi yanafifia, nashindwa kuiona vizuri ili nijue unapokosea
  13. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Nani mwingine ana changamoto kwenye Ms Excel? Kazi za ofisi zisikufanye uwe unalala usiku wa manane, kama ni mambo ya mahesabu tuwasiliane hapo tufanye namna ili uwe unalala saa mbili punde tu baada ya kuangalia taarifa ya habari[emoji846]
  14. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Unakosea kutype, usitumie curled bracket...tumia bracket za kawaida (curved) kama hii () na sio {}
  15. Njuka II

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Hii hapa
Back
Top Bottom