Recent content by NJOMBA

  1. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    CHADEMA HAWAFAI KUONGOZA NCHI HII KWA SABABU KUU ZIFUATAZO: 1. NI CHAMA CHA UKANDA(KASKAZINI) MBEYA, KIGOMA NA MWANZA WAMEKICHAGUA KWA KUICHOKA CCM TU, KUTHIBITISHA HILI ISSUE YA MAFUTA MTWARA WALIKAA KIMYA INGEKUWA TANZANITE WANGE INGILIA KATI (2) CHADEMA NI MAFISADI ZAIDI YA CCM(I.e RUZUKU...
  2. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    HIKI CHAMA NI CHA WANA KASKAZINI WAPARE, WACHAGGA, WAMBURU WAMERU. NDIO MAANA WANAWATOA WAHA, WANYATURU, WANYARAMBA n.k. LISU NA MSIGWA NI WANAFIKI NA WAOGA VIBARAKA WA SLAA NA MBOWE HIKI CHAMA NI CHA KIPUUZI HERI MAGAMBA KULIKO MAGWANDA YA MITUMBA YALIYOOZA. UKANDA WA NINI?
  3. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania pspf,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ps pf

    Hakuna cha ubright, Vimemo vilitembea watoto wa vigogo ndo wamechukuliwa
  4. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Mmh!!! kweli SI -ASA
  5. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Kinana asafiri masaa 26 kwa mv songea

    Ameenda kuwadanganya ili waipe kura CCM
  6. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Watangazaji wengi Mfano Gerald Hando ni mamluki wanaotumiwa na wanasiasa kwa manufaa yao pia ni watu wanaojipendekeza kwa watu maarufu na wenye hela. BADILIKENI ACHENI ULIMBUKENI. Ndo maana tunamkumbuka fina mango muanzilishi wa powerbreakfast wa sasa ni mamluki tu na wanafiki.:shut-mouth:
  7. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Kigwangala, iwe ni kweli au si kweli, umejidhalilisha

    Hamisi Kigwangala SIO JINA LAKE HALISI ALITUMIA CHETI CHA MTU AMBAE SASA HIVI NI MAREHEMU BAADA Y KUFELI FORM VI SISI TUNAMJUA VIZURI HUYU MTU. na ndio maana hata ethics ZA UDAKTARI HANA.:target:
  8. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Kwa Wana Mtwara: RAIS AMEWADHARAU MNOOOO

    Ukweli ni kwamba huyu mtu ni mbinafsi ndo maana amewajaza ma mbumbu kama waziri muongo/nishati na madini ILA KWA MTWARA TUTALIPUA MABOMBA YA GESI GHAFI WASIPOFUATA TUNAVYOTAKA
  9. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Mh. Pinda kuhusu uchelewashwaji wa ujenzi wa barabara ya Lindi maeneo ya Somanga

    Kwani mkataba wa kujenga ulikuwa wa mkandarasi binafsi au kampuni? Ukweli ni kwamba fedha za za barabara hiyo zimepelekwa Bara bara ya Mkata- Bagamoyo na nyingine Mpanda.
  10. NJOMBA

    JamiiForums Tanzania Namleta Kwenu Kamanda Lilian Wasira, Karibuni kwa Maswali & Majibu

    karibu uvae gwanda
Back
Top Bottom