Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

Hadi chadema itakaposimama tena nadhani Slaa atakuwa ameshatimiza miaka 90.
 
Hili tamko nalo ni kama mengine ambayo waandaji wake wanaweza kuwa ni walewale, ngoja tusubiri feedback kutoka kwa mwenyewe baada ya kutuliza akili na kutafakari.
Kama ni kweli basi atakuwa amejipambanua vizuri kuwa yuko daraja gani kati ya yale matatu maana katika waraka wote anaonekana kushutumu watu na sio issues. Ikumbukwe kuwa wasaliti wamevuliwa nyadhifa zao sio na Mbowe au Dr. Slaa kama wanavyotaka tuamini bali Kamati Kuu ambayo iko kikatiba. Pia hawakuuliwa nyadhifa kwa sababu ya usingida, ukigoma, uislamu wao, kuna tuhuma 11 na zimetajwa na wamepewa muda kuzijibu.
Angeliongelea issues au events ningelimuelewa lakini sio mtu (Lema, Msigwa, Mbowe, Slaa) maana hawa wote watapita kama yeye lakini cdm haitapita.
 
Wanaojihudhuru wanafki tu. Hawakua wanakipenda chama walikua wanampenda zito. Waondoke nae wakaanzishe chama cha wanafki chadema msivunjike moyo huo ni upepo utapita. Mangapi ya ccm yamepita bwana?
 
Inawezekana kitundu kapofushwa na fulusi kutoka makuunda,
unajua nimejuaje kuwa kaonyeshwa sura ya hela, bandugu talaka hainaga maneno meeeeengi,

angekuwa hajapofushwa na noti (msimbazi msimbazi) angekiandikia chama kukieleza kuwa anajiuzulu kwa sababu haridhishwi na mwenendo wa viongozi wa juu wa chama hivyo kuhisi kuwa mchango wake unapotea bure. Wewe unaandika barua ya kujiuzulu, hapo hapo unatoa tamko la msimamo wa chama mkoa kwa mamlaka yapi sasa wakati ushajivua madaraka.


hajakaa sawa kakurupuka, mara Lema, mara Msigwa, Mara Tundu Lisu, yaani haeleweki kabisa. Ningekuwa karibu naye ningemuuliza ndio anakwenda kujiunga na kina David Jairo?

MINYIRAMBA KWA KUJIDHALILISHA BURE KABISA.
 
hivi CHADEMA wana ushahidi usio na mashaka kwamba zito ni msaliti?. hongera mwenyekiti kwa kukataa ubakaji wa demokrasia.

wewe ni ccm ya chadma yanakuhusu nini kama ccm hambaki demokrasia si ukae uko ili siku moja ugombee uenyekiti?lusifa alipotimuliwa mbinguni akuja peke yake alishuka na kundi la malaika waasi leo hii ndo hayo mapepo yaliyawavaa ccm,zzk lazima angoke ata chama kikibaki na wawili ili mradi kimebaki na mungu sio nyie mizimu
 
Kimenuka tena bwana! Kwi! kwi! kwi! Lakini ndugu Mwenyekiti ujue kuondoka kwako ndio ushindi kwa Mbowe na Slaa manake hawa si wanamabadiliko kama ulivyo ila wenzako ni wapiga dili tu. They are after money.
 
Ukweli humuweka mtu huru hongera mwenyekiti kwa maamuzi yako

HIKI CHAMA NI CHA WANA KASKAZINI WAPARE, WACHAGGA, WAMBURU WAMERU. NDIO MAANA WANAWATOA WAHA, WANYATURU, WANYARAMBA n.k. LISU NA MSIGWA NI WANAFIKI NA WAOGA VIBARAKA WA SLAA NA MBOWE HIKI CHAMA NI CHA KIPUUZI HERI MAGAMBA KULIKO MAGWANDA YA MITUMBA YALIYOOZA. UKANDA WA NINI?
 
Uoga wangu ni mwingi sana na mshangao wa kufa mtu pale mtu anaposema ana jiuzuru uongozi tena na matamko ya kutaka .Ukisha jiondoa umeisha ondoka .Hawa wote walikuwa na bei yaani price tag sasa sema wanatumia mgongo wa mpwa wangu Kabwe .Mwenyekiti wa Mkoa tangia mwaka 1992 inakuwa majimbo ya Singida mengi yako CCM ? Najua Lissua alishinda kwa uwezo wake na mwishoni Chama kumsaidia .Mwenyekiti ulikuwa mzigo kwa Chadema .Wakutakie kila jambo jema huko uendako .
 
Kimenuka tena bwana! Kwi! kwi! kwi! Lakini ndugu Mwenyekiti ujue kuondoka kwako ndio ushindi kwa Mbowe na Slaa manake hawa si wanamabadiliko kama ulivyo ila wenzako ni wapiga dili tu. Their are after money.

Chamviga sasa naamini kwa nini una akili fupi hapa ukumbini.Kumbe hata huwezi kutofautisha They and Their ? Jitahidi kurusha vijembe lakini tumia kiswahili acha kutafuta aibu .Wewe si makini kama mwenyekiti wako unaye ongozana naye na mwenyekiti wenu wa Mkoa wa Singida .
 
Hili la kujiuzulu sukubaliani nalo.... Wangebaki ili nguvu yao kwenye vikao halali iwe kubwa... Chadema tumieni akili kidogo.. hiki chama bado kichanga na wanachama wake pia.
 
yaani yeye alikuwa mwenyekiti tangu 1992! yaani kakaa madalakani zaidi ya mbowe alafu analilia demoklasia mnafiki tu, angeanza kuonyesha demoklasia yeye kwa kupokezana vijiti na wenzake
 
Another non-sense, matamko yana wording ileile na kukosa mantiki. Waratibu wa jambo hili hata akili hawana kabisa.

Chadema is strong and it will become stronger.

Kibaja
 
Kwa mwendo huu, sijui aisee! Nyie mnaosherehekea wenzenu wanapojiweka pembeni na mnawaita makapi, wasaliti na wahaini nina wasiwasi nyie ndio wahaini. Hamuitakii mema Chadema. Sidhani watu kama Elli, Kagalala, Gambagumu, Bongo etc, mmejitolea kiasi gani na kwa gharama gani kuijenga hiyo Chadema zaidi ya huyo Mwenyekiti aliye jiuzuru. Wengine nyie hata ada ya kadi za chadema hamzilipii lakini mnajiita wazalendo kuliko huyo mwenyekiti aliyeitoa nyumba yake iwe ofisi za CDM kwa miaka mingi. nawaambia jasho la watu kama hao huwa halipotei bure, laana hiyo itawatafuna tu!

Siipendi Chadema lakini sipendi ife, ukweli kuna mengi mazuri CCM imeyafanya kutokana na shinikizo kutoka Chadema. Lakini inapofikia wale wenye busara, na waliojitolea kuijenga Chadema hadi kuwa kama ilivyo leo wanaondoka na mnajifariji eti mtaendelea kuwa salama nadhani mnakosea sana na mnajidanganya wenyewe pia!
 
Hilo ni tamko la CDM au lake binafsi? anaweza kuwa MM5 huyu mbulura!

tangu lini msukuma kama wewe ukajitambua? Wajinga ndio waliwao, acha uendelee kuwa kijakazi kwa manufaa ya wachaga,panua domo mpaka ukome
 
Yaani mtu ukishajua kuwa una kesi ya kujibu kamati kuu unaomba ivunjwe?Kesi ya kuuza ubunge Singida Mjini ndiyo iliyomsukuma
 
Back
Top Bottom