Nenda mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi kijiji cha Isansa kuna mzee anaitwa mzee kais (kama yuko hai) anatibu mifupa na unajiunga na kuanza kukanyagia ndani ya Siku tatu tu, watu was maeneo hyo kama wapo watakuthibitishia hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.