Kwa kuwa vitambulisho vya kudumu bado havijakamilika nch nzima..na serikal haitaki kupitsha mfumo wa daftar la kudumu la wapiga kura inamaana watakaopiga kura ni walewale waliopiga 2010 ko ccm watazd kupeta kuchukua madaraka kama kawa? Vyama pinzani ni conscious yangu kwenu ndo hyo tu.
Suala la Netiona Electral Commition(NEC) kutotaka kufanya renew ya daftar la kudumu la wapiga kura hamuoni kuwa ni mbinu ya CCM kutaka kushinda tena uchaguzi? Kwani wapiga kura watabaki kuwa wale wale wa 2010..na kizaz cha mabaliko kutopiga kura na kuleta mapinduzi ya kisiasa nchn kuhusu viongoz...
CHADEMA Hawafai kupewa kiti cha urais kwa sababu wanaleta ubinafsi katika chama na ndo chanzo cha ugomvi wao hakuna mwenye chama bhana hakuna mbowe wala slaa chama ni cha wananch wote kwa hyo kuna uwezo wa kuwatoa na kuweka wengnd kwann mapadree hawa walete ugomvi? Mwisho wa siku itakuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.